Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

Nimeongelea katibu mkuu, sina muda wa kujibu ujinga pls.

Kwanza hata unajua majukumu yake? Unaweza idhinisha matumizi ya fedha bila ya kumtaarifu?
Duuh! Sijakuuliza ili unipe definition au unifundishe maana ya ukatibu mkuu. Nilimaanisha anaitwa nani, ni kweli simjui na nilidhani pengine ungenitajia nami ningepata mwangaza.

Polee kwa kuchakata vibaya swali langu, na kama walivyo waTz wengi, huwa nasikia tu Katibu mkuu ila sijui lolote kuhusu kazi zake. Asante.
 
Hoja za kipuuzi kabisa, endeleeni kucheka na kima. Safari hii majizi ndio yatashamiri kila kona.
tatizo kwenye nambo ya nsingi watubwanaleta ushabiki kama wa simba na yanga
 
My bad 🙏🙏🙏

Emmanuel Tutuba alikuwa RAS mwanza akapandishwa.
 
Maza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
EEeenHeee!

Ninakusoma mkuu 'Babati'.

Nina hakika kabisa kwamba sijawahi kukusoma humu JF kama ninavyokusoma kwenye mstari huo mmoja. Siwezi kamwe kuyasahau haya maneno mazito uliyoyaandika hapa kuweka msisitizo: "...kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake."

Wakati nikiwa nimezoea kukusoma na kukuelewa vyema kwa hayo maneno ya mwanzo kwenye mstari ule, sikujua kwamba kumbe kuna upande wa pili ambao umeuonyesha leo kwa hayo maneno niliyoya'quote'.

Basi sawa!
 
Mama hawezi.

Sio kuyamudu haya pekee, lakini sioni atakavyoweza kuondoa uozi mwingi sehemu mbalimbali serikalini na kwenye mashirika yake.

Mama hana uthubutu na sina uhakika kama anajua ni kipi akifanye kuyaondoa haya na hayo mengi yaliyozagaa kila upande serikalini na kwenye mashirika.

Siyo ajabu, yeye mwenyewe ndiye atakaye yachochea yaongezeke zaidi na zaidi.
 
Maza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
kama atacheka na huu upuuzi aondoke hata kesho
 
Hatuna Rais tuna kiongozi ndo maana marais wapo wengi hata TFF ina Rais lakini hawezi kuamrisha hata mgambo
 
we mbwa unajua Prof Asad alianza ukaguzi mwaka gani na riport yake ya kwanza ilikuwaje? you better shut-up.
 
Kumbuka tumesha kubaliana tuachie pesa ije mtaani,saa hizi kuna wengine wamepata bahati huko mtaani Mzigo wa Wizara ya fedha nao umewafikia! Kama kuna mafundi Ujenzi au mafundi Magari saa hizi nao wanawapiga pesa Watumishi wezi wa fedha za Umma!!
Ikija mtaani utakuwa unaokota barabarani?
 
Maza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Watu wote humu wakiwa na akili zako hakutakuwa na nchi ndani ya mwezi mmoja. Fisadi mkubwa we.
 
Maza anapiga viwiko na wageni ikulu huku ngedele washapamba Moto .tulishazoeshwa watu kupinduliwa aggressively hatutegemei vinginevyo
 
Mleta uzi unajua kuwa hizo pesa zimepigwa hata huyo unayetaka kumtwisha lawama akiwa hajawa hapo alipo!!??. Una
 
Dawa ya wezi ni kufunga tu hasa hao wanaokwiba fedha za wavuja jasho.
 
Msimwonee mbibi wa watu.. mamno mengi
 
Acha kumsifia uyo mtu aliyeacha mianya Mingi ya upigaji,unyanyasaji watu WA Hali ya chini walinyanywaswa kila Kona

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kichwa maji wewe

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Huyo waziri Mkuu anadhani sisi ni wajinga, ripoti ya BoT ya januari to March mbona mama haiweki hadharani, tujue uadilifu wa hapo kabla? Maana ile 1.5t tulipigwa hivi hivi.
Wee Kama sio mjinga si ukamuulize aliyeiunda , majaaliwa ndo ameiiunda yeye anafanya yaliyondani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…