Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

Ni mwendo wa kuzua tu mpaka pakuche
 
Yeah! Hiyo inawezekana huko mbeleni. Na hata kwenye vyama vya Siasa Mwenyekiti anaweza pia kuomba kukaa pembeni kwasababu ya afya hasa Afya ya Akili. Mfano, hata sasa hivi Lissu anaweza kuachia nafasi ya Uwenyekiti kwasababu hiyo! Ahahahahaha!!
 
Mkuu ni kweli!
Tumia akili aliandika:-

Original plan in and out!
Desert mission!

"Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku!

Sasa ndejembi hakuwahi kugombea urais na sasa ni makam,na nchimbi aliegombea na mama hayupo kajiuzulu!

Sasa sasa sasa,hizi siku za eda baada ya kufiwa na mtu wa karibu kunaweza kumsaidia mama kuona way foward na akafurahia maisha ya utulivu ya kulea wajukuu!!

Nakumbuka hivi karibuni Kuna miangwi ilisikika toka kona fulani

"Samiah atakumbukwa kwa mazuri mengi"by mchengerwa!
"Natamani kupumzika" mama mwenyewe!

Ni rasmi ndejembi anaweza akawa FDR yaani Franklin Delano Roosevelt na miaka 12 ya utawala ndani ya Tanzania!

Ule msiba wa ghafula na ukazimwa ghafla,labda ndio due process zao wale jamaa wenye signature "Right there where you are" ulipo tupo!! Hata msibani tupo!!

Nawaza!nachangia uchumi wa Mbs!

Kazi na utu,naendelea kusonga mbele na lolote litakalotokea!nitatii Sheria bila shuruti!

Mungu ibariki Tanzania!
 
Chief, funguka tu, the way ulivyoandika, its like kuna kitu unakijua huko pahala.
 
Hivi viswali vyako hivi...!, usikute wewe una kauli umba, hivyo ukilisema jambo, kauli yako ndio inakuwa na nguvu ya kuliumba hilo jambo, likatokea!. Lile swali la VP kujiuzulu limetokea, sasa unaanza kumuumbia bosi nae ajiuzulu kwa sababu za kiafya?!. Ole wako, akiugua tuu hata mafua... sisi tunakula la wewe!, tutakufata popote ulipo, utueleza umemfanya nini!.

P
 
Huyu jamaa namuogopa sana anaandikaga kama maswali naona hata hapo Uzi wa ndugai kuwekwa pembeni aliuliza kiutani wahali πŸ™ŒπŸΌ
 
Ni swali tu nimeuliza πŸ™πŸ½
 
Ndio maana walitafuta Sababu ya kumtoa EJN ....
Kuna draft linachezwa haswa...
DJN anaweza kula zake 12 yrs... Tusubiri

Ndani ya system kuna moto sana.... Na pia pressure kubwa sana kutoka nje kuhusu mambo ya hatari ya mwaka Jana... October 29

Unajua Sasa hivi huwezi kufanya mambo ukajificha.... Watu wako advance sana na digital satellite technology...wameona
Yaani hatuna sehemu ya kuwadanganya...

Hizi Embassy za hao wakubwa hapo mjini Wana intelligence officers kibao... Wanajua kinachoendelea underground.. issue zote hasa za enforced disappearance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…