britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
-
- #41
Siyo kila tunachojua lazima kiwekwe hadharani nenda PMHaiwezekani uulize tuu, uliuliza Job Ndugai akaondolewa.
ukauliza VP, ameondoshwa!
Sasa unamuulizia mwenyewe!, ikitokea kweli, nani ataamini ni umeuliza tuu?.
P
Yes,
kwanini isiwezekane na imeandikwa kwenye katiba?
asipoaachia ngazi kwa hiyari kwasababu ya kuzorota kwa afya yake, ikithibitika pasina shaka kwa mujibu wa sheria, kwamba afya yake haiwezi tena kumpa uwezo wa kuongoza nchi, anawajibishwa kwa katiba tu π
Yupo chini ya 45 lkn
Mwaka wa maajabu huu, tusubiri kuona lipi linaanza kati ya hilo au Elnino
Ni swali tu nimeuliza ππ½
Aibu utaona wewe mahiKo Kijana anaweza kukaa kwenye kiti chekundu mda wowote?
Yatakua maajabu sanaa, Doooh.
britanicca Kama kawaida yako homework nyingine tena nasubiri siku ya kutoa marks
Punguza kuongea ukweli bana πToka Nchimbi ajiuzuru na kuwekwa kitimoto, huwa una comment kwa adabu sana, unajua namna gani CCM inavyojua kiwa suprise machawa wake.
πππππ
Sisi!Hivi viswali vyako hivi...!, usikute wewe una kauli umba, hivyo ukilisema jambo, kauli yako ndio inakuwa na nguvu ya kuliumba hilo jambo, likatokea!. Lile swali la VP kujiuzulu limetokea, sasa unaanza kumuumbia bosi nae ajiuzulu kwa sababu za kiafya?!. Ole wako, akiugua tuu hata mafua... sisi tunakula la wewe!, tutakufata popote ulipo, utueleza umemfanya nini!.
P
Tusubiri na kuonaHuyu huwa hakoseagi kabisaaa.
Aibu utaona wewe mahi
Punguza kuongea ukweli bana π
Tusubiri na kuona
Mie tomaso mpaka nione kwa macho ya nyama
Polee wee itakua raha kua na Rais kijana maji motoπMahi nachokaa kabisaaa, ππππ
Tlaatlaah ukimsoma siku hizi unaona patterns.Toka Nchimbi ajiuzuru na kuwekwa kitimoto, huwa una comment kwa adabu sana, unajua namna gani CCM inavyojua kiwa suprise machawa wake.
πππππ
ππ Msamehe na heartbroken ππππ lazima nimpe huyu huwa anabwata sana shits.