Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

Mkuu bado nakazia huyo ni Isdory mpango mzima.

Kumbuka kuhusu kustaafu na kurejeshwa Ikulu.
 
Haiwezekani uulize tuu, uliuliza Job Ndugai akaondolewa.
ukauliza VP, ameondoshwa!
Sasa unamuulizia mwenyewe!, ikitokea kweli, nani ataamini ni umeuliza tuu?.
P
Hata Mimi Nimestuka.Jamaa anajua mengi na kila alilosema huko nyuma saivi tumeshuhudia lishatokea.
 
Maneno mazuri sana cde well said
 
Mkuu bado nakazia huyo ni Isdory mpango mzima.

Kumbuka kuhusu kustaafu na kurejeshwa Ikulu.
Ina maana ndejembi wamtoe tena!!?ngoja nione mechanism itakuaje!

Umri nao vipi!!?

Tuamini pasco mayala alivyoandika "Dr. Mpango ndio mpango mzima"

Nakumbuka hata mama aliwahi kusema kwamba "naamini wewe (mpango) ndio utasimamia Dira hii yaani 2,025-2050"

Ngoja tuone!!
 

Mkuu tuamini kwamba mbele kuna mwanga.

Hiyo makamu mpya wamemuweka kwasababu tuu ila Hana ndoto za uraisi na hatokuja kuwa raisi.

Kazi ngumu iliyobakia ni kuutoa mguu wa CHEMBA.

In short hakukuwa na uchaguzi last year.

Isdory ndio mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…