Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

Awadhi Juma Haji ndo ananukia kwenye udi labda mkuu abadili Kama kwa NCHEMBA
Awadhi nafasi aliyokuepo ya oparesheni huwenda yalikuwa ni maandalizi ya kukabidhiwa jeshi

Na pia nasikiia awadhi anaweza akafaa saana kuelekea uchaguzi kwani jeshi lao linahitaji mtu imara atakayesimama vyema katika kuusimamia uchaguzi😁😁
 
Naona kama hawa wa sasa kuna maeneo wanafanya vizuri, naona kama miji imetulia, uhalifu ule wa kitaa umepoa sana.

Sijasikia mishindo siku nyingi Dar es salaam.

Tutambue tu lakini, Taifa letu bado ni primitive.
 
Back
Top Bottom