Ni bora Mahita arudi.
Huyu Mrangi aliwafanyia ngunguri ACT kule Zanzibar mwaka 2020 kwenye uchafuzi.
Top layer yote ya vyombo vya ulinzi na usalama hua ni ya makada wa CCM na genge la wapigaji.
Hii hata nchi za kimafya na magenge ya wauza unga kule Kolombia walifanikiwa sana kupandikiza wanachama wao kila idara ikawa ni ngumu sana kutokomeza biashara haramu ya madawa ya kulevya. The same applied to CCM. Imeweka watu wake kuwa wakuu wa idara zote na pengine hata vyama vya upinzani vinaongozwa na makada wa CCM maslahi. Wenyeviti wote wa vyama vya upinzani waliwahi kutumika kama watu wa idara ya usalama kulingana na position walizokuwa. Zito Kabwe mfano huyu ni kijana wao siku nyingi kabla ya kujiunga na siasa. Ameanzisha ACT.
Edwin Mtei alikua Governor wa fedha akaanzisha Chadema, Mbowe alikua mtumishi wa benki kuu.
Lisu na Mwabukusi hawajulikani wameibukia wapi ndio maana wanaonekana ni tishio kubwa sana kwa ustawi wa mafisadi.