Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

Huyu IGP wa sasa ndio alitumika na Magufuli kuframe kesi ya ugaidi ya Mbowe. Na wakaishia kulitia jeshi la polisi aibu, na serekali kwa ujumla kwa kutengeneza ushahidi wa kitoto sana.

..uko sahihi.

..Sirro, Wambura, na Kingai.

..Lakini tukio la kutekwa Sativa limeacha ushahidi usio na shaka kwamba " wasiojulikana " ni genge la serikali.

..Hata Polisi ktk kituo alichoshikiliwa Sativa walikuwa wanamuuliza Sativa amefanya kosa gani.

..Polisi walioko vituoni inaelekea wanajua wahanga wanaoshikiliwa na " wasiojulikana " hatima yao huwa ni mbaya.
 
Mtanganyika mwenye majina matatu ya kiarabu? Hata la ukoo? Tanganyika ipi? Awadhi sio jina la jangwani kule?
Wewe ni mtanganyika wa wapi ambaýe hujui kwamba tanganyika majina hayo yamejaa kuliko zanzbar..?

Ukienda mkoa wa lindi na mtwara tu kuna watu 2.7 M ambako most of them are muslims wana majina hayo.

Huku zanzibar ikiwa na watu wasiozidi 1.8M. So tanganyika hayo majina yapo mengi kuliko zanzibar😁😁😁

Awadhi sio mzanzibari.

WEnye majina kama hayo watanganyika wapo wengi tu.

Awadhi sio mzenji
 
Back
Top Bottom