CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Awadh ameupiga mwingi sana kwenye sakata la Chadema kule Mbeya lazima aupate u IGP maana ni yeye personally aliwapa kisago cha mbwa mwizi Sugu na Mnyika maana watu sampuli hii ndiyo majembe ya CCM.