Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

Benki kuu huwezi kuingia bila kua mtu wa idara.
Benki kuu ni kitovu cha usalama wa nchi kiuchumi( Economic Inteligence)

..Watanzania tumedanganywa, na kutishwa sana, kuhusu Idara ya Usalama wa taifa.

..Yaani tunawaona kama ni zaidi ya Mungu wakati ni binadamu kama sisi.

..Kuna miaka vijana wa form 6 wa kiume walikuwa wakiajiriwa ktk idara za serikali kabla hawajapangiwa vyuo vya kwenda. Mbowe aliingia BOT kwa utaratibu huo.
 
Kesi ya Mbowe unamuhusisha Magufuli? Kwa nini mnaogopa kumlaumu mama yenu hata anapokosea? Magufuli alifariki lini na huyo gaidi aliyeachiwa kwa makubaliano ya kuwa chawa wa mama yenu alikamatwa lini? Je magufuli aliwahi kutamka popote kwamba chawa la mama yenu Mbowe ni gaidi? Lakini mama yenu hakuiambia dunia kupitia BBC kwamba chawa ni gaidi?

..wanajeshi walinzi wa Mbowe walikamatwa wakati wa Magufuli na naamini walifikishwa mahakamani.

..Mama Abduli alipoingia madarakani ndipo Mbowe akakamatwa na kujumuishwa ktk mashtaka na walinzi wake.

..Wakati tunabishana kuhusu Magufuli au Mama Abduli, tusisahau kuna mlinzi wa Mbowe alikamatwa na haijulikani alipo mpaka leo.
 
Nauliza tu maana kuna harufu Fulani kutoka sehemu fulaniii Tukapata kijana akawa IGp

Ni mawazo Yangu tu

Wait it

Upo Pascal Mayalla ?
Britanicca
..Waziri wa Mambo ya ndani.

..IGP.

..DCI.

..Mkurugenzi wa Tiss.

..wanatakiwa kubadilishwa.

..Utekaji wa SATIVA umemchafua Rais Samia.
Hata wakibadilishwa utekaji watu hautakoma kwa sababu tatizo lililopo ni la kimfumo kutokana na uwepo wa Katiba mbovu, Wala siyo suala la vyeo vya watu
 
Hata wakibadilishwa utekaji watu hautakoma kwa sababu tatizo lililopo ni la kimfumo kutokana na uwepo wa Katiba mbovu, Wala siyo suala la vyeo vya watu

..kwanza hao niliowataja wajiuzulu.

..pili wahusika na genge la utekaji wapelekwe mahakamani.

..tatu tubadilishe sheria na katiba.

..mawili ya kwanza wanapaswa kutekeleza bila kuchelewa.
 
Sijui unatoka wapi wewe ambaye hujui haya mambo,kumbe kuna watz hamna exposure na nchi yenu namna hii mpaka jambo la kawaida kama hili mnalishangaa ?

Tembelea mikoa ya tanga,lindi,mtwara,tabora n.k utaona hayo kwamba ni mambo ya kawaida sana.

Mimi mwenyewe baba yangu majina yake yote matatu ni kama haya ya awadhi hakuna jina la ukoo.
Alafu mtu kwenye majina matatu lile la mwisho si lazima liwe la ukoo, kuna watu wametokea kuchukia au kuona majina ya kibantu hayafai matokeo yake hawa wakisajili watoto shule hawayaweki
 
Awadh ni mtata sana na kwa style ya mama yenu hali inavyozidi kwenda ndio anazidi kupagawa she needs a rude and unreasonable IGP na Awadh huwaga very unreasonable nimemfahamu toka akiwa Oysterbay wakati ana nyota 2 na within 12 years amepanda fasta sana sababu ya unaa wake na kujinafikisha kwa wakubwa kujiweka kifeont akisahau kwamba hizi kazi kuna siku sio nyingi atarudi mtaani. Anyway all the best lakini akiteuliwa mjue tumeumia hanaga akili jamaa.
 
Watu wa namna hiyo dawa yao ndogo tu, sema Wananchi wenyewe wa Tanzania wengi wao bado wapo kwenye usingizi wa pono.
 
Nauliza tu maana kuna harufu Fulani kutoka sehemu fulaniii Tukapata kijana akawa IGp

Ni mawazo Yangu tu

Wait it

Upo Pascal Mayalla ?
Britanicca
Inawezekana sana endapo chadema hawataenda mahakamani kwa walichotendwa.

Huyu Mtoto wa mkulu wanasemaaaa weh kwa nini hawamshitaki anatoa rushwa tuanzie hapo otherwise mateso mengi yapo njiani.
 
Inawezekana sana endapo chadema hawataenda mahakamani kwa walichotendwa.

Huyu Mtoto wa mkulu wanasemaaaa weh kwa nini hawamshitaki anatoa rushwa tuanzie hapo otherwise mateso mengi yapo njiani.
Kaganda wanataka Ila debate kubwa
 
Ngoja tuone...

Hivi IGP wa sasa anaitwa jina gani? yupo kimya sana...
Mkuu kwa teuzi tengua hizi unadhani hata waziri wa Elimu tunamjua?......Watanzania wengi washaacha kufatilia mambo haya.
 
Back
Top Bottom