Mh Rais,ni lazima aelezwe hili!!
Ndani ya Jeshi,akitaka kumpata IGP mzuri ni lazima ashuke chini kuanzia mwenye cheo Cha SP, SSP na ACP!!
Kumtoa IGP kutoka kwa kwenye vyeo SACP, DCP na CP ni kujidanganya!!,Hawa wengi wao wanakuwa wanakaribia kustaafu na akili zao Mara nyingi zinakuwa zimechoka Sana!!
Mh.Rais atafute IGP ambaye ni Kijana ambaye atakuwa naye kwa muda mrefu,ni risk Sana unapokuwa na CPs ambao karibia wote wanatarajia kustaafu ndani ya miaka miwili au mitatu kufika muda wa kustaafu!!