britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Awadhi Juma Haji ndo ananukia kwenye udi labda mkuu abadili Kama kwa NCHEMBATatizo sio ujana ama uzee wa IGP, bali ni mazingira ya kupokea amri za kuibeba ccm.
awadhi juma hajiTunamuweka wakwetu kutokea kizimkazi
Huyu IGP wa sasa ndio alitumika na Magufuli kuframe kesi ya ugaidi ya Mbowe. Na wakaishia kulitia jeshi la polisi aibu, na serekali kwa ujumla kwa kutengeneza ushahidi wa kitoto sana...Waziri wa Mambo ya ndani.
..IGP.
..DC...
Awadhi nafasi aliyokuepo ya oparesheni huwenda yalikuwa ni maandalizi ya kukabidhiwa jeshiAwadhi Juma Haji ndo ananukia kwenye udi labda mkuu abadili Kama kwa NCHEMBA
Awadhi sio mzanzibari,awadhi ni mtanganyika.awadhi juma haji
Je ndio itafanya Chadema wakitaka kuleta vurugu wasikamatwe?Nauliza tu maana kuna harufu Fulani kutoka sehemu fulaniii Tukapata kijana akawa IGp
Ni mawazo Yangu t...