CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Jamaa kipindi Yuko Zenji alikuwa anaonekana ni mstarabu kumbe ovyo tuAwadh ameupiga mwingi sana kwenye sakata la Chadema kule Mbeya lazima aupate u IGP maana ni yeye personally aliwapa kisago cha mbwa mwizi Sugu na Mnyika maana watu sampuli hii ndiyo majembe ya CCM.
Nadhani alimaanisha Kingai(Ramadhan). DCIKama ni Mzee Ramadhan Nyamka wa Magereza huyo keshastaafu.
Speed ya kuutaka u IGP inamuondolea hata uwezo wa kufikiriJamaa kipindi Yuko Zenji alikuwa anaonekana ni mstarabu kumbe ovyo tu
How negative hapo uliposoma au ndio wale mliokosa hata D mbili? Mie nimesema namfahamu na nimefanya nae kazi pia na nikaacha huko sasa wewe kama unamfahamu labda ni bwanako we sema. Stupid."negative mindset"
WEwe ndio wale akina anjunjumile mwakatopele ?Nadhani elimu inapaswa kuanzia hapa....
Ukijua asili, utaelewa kuwa John, Juma si yetu, kama hivyo ndivyo, basi hakuna uwezekano wa John au Juma kuwa SURNAME kwenye jamii ya kitanganyika, asilani abadani! Ukoo ulianza na Juma au John? Ulisikia wapi?
- Labda kama ni mtoto wa mtaani au aliyeokotwa, akaanzisha koo yake.
Mwisho, hata hiyo maana ya exposure sidhani kama umeielewa!
Wote elimu zao ndogo huyu awadh nae elimu ndogo kwahiyo akili ndogo haiwezi tawala akili kubwa...aliewateua nae elimu ndogo kidiploma cha mzumbeCammilius na Ramadhan wamepwaya sana kwenye nafasi zao na utendaji wao ni kama wanapingana na 4R za boss wao.
Bila kumtaja JPM hainogiHuyu IGP wa sasa ndio alitumika na Magufuli kuframe kesi ya ugaidi ya Mbowe. Na wakaishia kulitia jeshi la polisi aibu, na serekali kwa ujumla kwa kutengeneza ushahidi wa kitoto sana.
Ndio mfano halisi.Bila kumtaja JPM hainogi
Ila jamaa kawakung'uta asee..nasikia aliwapiga marungu na matekeAwadh ameupiga mwingi sana kwenye sakata la Chadema kule Mbeya lazima aupate u IGP maana ni yeye personally aliwapa kisago cha mbwa mwizi Sugu na Mnyika maana watu sampuli hii ndiyo majembe ya CCM.