TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

Team imekamilika huko,mkapa,jpm,maalim seif,nyerere,Membe,sitta aiseh uongozijarabu kabisa huko kwao!!

RIP mtumishi mwaminifu wa jamhuri YETU!!!
 
Aache uzembe na yeye. Kama aliweza kufuta uchaguzi na watu wakapoteza maisha bila sababu inakuwaje akashindwa kufuta/kukata hicho kifo?
Jecha alitangaza kufutwa kwa Uchaguzi yeye kama yeye hana ubavu wa kufuta sema ndio raha ya Siasa …alieyafuta ni Mzee Mjanja mjanja wa Mjini anaejua kusimama eneo salama wakati wote wa vimbunga
 
Upo sahihi kabisa.
Madhalimu hawajifunzi.
Mauti ni mawaidha kama wasemavyo ndugu zetu waislamu.
 
Hapo naweza kuungana na wewe hapo ni nadharia
 
Kumbe Na wao wanakufa,hahhaahha halafu kafia Tanganyika. Haya kashindwa kufuta kifo chake?Rot in hell wewe kibabu Jecha.
Wewe siyo wa kusema hivyo jameni. Kumbuka yule kipenzi chako ndiye aliinjinia yote haya aliyofanya Jecha
 
Kula nafsi ana mauti. Kila Nafsi itapata umauti/kufa.
Tutende mema hapa Duniani ili tupate pepo kesho yake. Tusijisahau. R.I.P.
 
Looooooooooooo! Alievujishiwa jamani nyeti atabugia bia mpaka azame kwenye chupa.
 
Hivi hospital ya Mnazi mmoja Zanzibar ina hadhi sawa na hizi rufaa za mikoa huku Tanganyika au ni zahanati kubwa.

Tuvunje tu muungano tupige na pesa za "utalii wa matibabu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…