Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! πŸ˜‹πŸ˜‹

Kuna mmoja namfahamu aliwah niandikia faini ya milioni 5. Ili aifute nitoe 1m, nikamwambia we andika tu hyo faini. Kwa hasira akaiandika kweli, baada ya siku mbili nkamfata kwake usiku, mbona aliomba na transfer ahamishwe mkoa.
Kilitokea nini hapo kwake usiku hadi aombe transfer tupe full story mkuu au ulitaka kumuua
 
Naomba kuuliza hapo ndugu kwenye mwajiriwa kupanda vyeo kila baada ya miaka mitatu kinachozingatiwa ni nini wanaconsider level ya elimu ama ni ukishajiliwa ni unapanda vyeo baada ya huo muda haijarishi elimu uliyoingia nayo ama kwa kila ngazi za elimu kuna mwisho wa vyeo utakavyopanda
 
Sasa Kama scale ndio hizi mnanifanya nijifikirie mara mbili.
Mimi Nina 1.6M hapa nilipo lakini nimeomba kazi za TRA ambazo scale yake hapo ni TRA 4, 1.2M
Kwahiyo nitashuka laki 4?
Lakini hapa nilipo hakuna hata mia ya posho.
Ukipata kazi Serikalini ingia tu kaka
 
Ukiona mtu anafanya kazi kampuni zaidi ya 4 kwa miaka mitatu inamaana salary yake pia inaongezeka. Ili umtoe alipo aje kwako lazima u double/triple mshahara. Mtu hawezi kukubali aache kazi mahala alipopazoea eti kwa ongezeko la laki tano.
 
Hiyo 1.6M nimefika baada ya kufanya kazi miaka 12.
Nilianza kazi 2012, nikiwa na degree na mshahara wa laki 432,000/=
Ngoja nikimbie tu
Pole boss kimbia. Wengine Wanamiqka pungufu ya mitano lkn wanachukua mara mbili ya hio.
 
Uko sahihi mkuu. Na hapo hujagusa UBA, Stanbic na Stanchat
 
Lakini wanaojenga magorofa ni vijana wa tra, πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…