Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

punguza bangi
 
nakuunga mkono , hata KULIPOTOKEA TETESI KWAMBA AMEPINDULIWA , KIGALI NZIMA ILIRIPUKA KWA SHANGWE !

red inakuhusu....mji ulioripuka kwa shangwe ni GOMA-DRC na siyo kigali hujielewi....nenda kigali uone kagame anavopendwa utasikia wanamwita "muzee"
 
Kuua maadui wengi kabla hawajakuua ni ushindi pia sababu hata usipoua kama ni maadui kweli watakuua tu!!!!!!
Neno wengi ni ralative sana,linaelewaka vizuri linapoelezwa in terms of ratios.
Maadui aliojitengenezea Kagame ni wengi na anaendelea kuwatengeneza kila siku ikiwa ni pamoja na aliokuwa nao ndani ya kundi lake la waasi wa RPF. Wapo ndani na nje ya Serikali yake, ndani na nje ya nchi yake, ndani na nje ya bara la Afrika. Hawezi kuwamaliza, ni suala la muda tu kwake yeye kupotea katika ramani ya dunia hii.
 
unachekesha kweli, kwani iddi amini alikuwa anawatisha Nshomile pale kagera, au Nyerere ikulu Dar? watanzania na wanyarwanda wa kawaida hawana matatizo, tatizo ni kagame na tutsi-extremists wenzie!
 
Kayumba nyamwasa si mtu wa kumuonea huruma kwani na yeye kabla hajatofautiana na kagame, alikuwa ndio kiongozi wa shughuli kama hizi hizi, sasa kibao kimemgeukia.
 
Mkuu hujaona hapo intelijensia ya Nyamwasa ni kali zaidi ya mtusi mwenzako kagame....kitendo cha jamaa kunusa na kupotea ni umashughuli wa inteligensia yake
 
unachekesha kweli, kwani iddi amini alikuwa anawatisha Nshomile pale kagera, au Nyerere ikulu Dar? watanzania na wanyarwanda wa kawaida hawana matatizo, tatizo ni kagame na tutsi-extremists wenzie!

Hili lijamaa linanitia kichefuchefu!!!! Sikiliza njoo kigali basi umuondoe Kagame madarakani. Unasemaje?
 
Hili lijamaa linanitia kichefuchefu!!!! Sikiliza njoo kigali basi umuondoe Kagame madarakani. Unasemaje?

thread unazodaiwa ushahidi unadai eti huna muda, kazi kudakia thread za watu kama demu wa baa, hujaitwa unaitika, pmbvu! lazima nikutie kichefuchefu we si una mapepo?
 
red inakuhusu....mji ulioripuka kwa shangwe ni GOMA-DRC na siyo kigali hujielewi....nenda kigali uone kagame anavopendwa utasikia wanamwita "muzee"

Hii nchi inawahamiaji haramu wengi, jina lako tu laonyesha dhahiri ww si mtanzania, wanaompenda kigali si ma- cockroach(tusi) wenzake
 
Hili lijamaa linanitia kichefuchefu!!!! Sikiliza njoo kigali basi umuondoe Kagame madarakani. Unasemaje?

Mmeacha kunyanyasa wahutu huko kwenu, haya matusi mabaguzi kweli hata ugenini, nimeishi nayo mpanda sio kabisa
 
kayumba mwenyewe mtutsi ....labda sema ulichokusudia ukianzia hapo....unachokosea ni kusema watutsi wako katika taasis nyeti....kuwa mtusi haikukatazi kuwa mtz.....

Hakuna bana ninyi watusi watu wabaguzi sana bora hata muhutu, mi wote hao nimeishi nao ila ubaguzi wa mtusi wa kipu*mbavu sana,
 
kifo ni lazima utaua wenzio lakini na wewe utakufa tu.
 
Muda Wa PK unahesabika! Hana Muda mrefu!
 
Hakuna bana ninyi watusi watu wabaguzi sana bora hata muhutu, mi wote hao nimeishi nao ila ubaguzi wa mtusi wa kipu*mbavu sana,

mbona kila mtu hudai ameishi na watutsi?siamini kama ubaguzi mnauchukulia kwa individual concern au something to do with tribe....naogopa mtakuwa kama wanawake ambao huchukia wanawake wenzao bila sababu yoyote.....
 
thread unazodaiwa ushahidi unadai eti huna muda, kazi kudakia thread za watu kama demu wa baa, hujaitwa unaitika, pmbvu! lazima nikutie kichefuchefu we si una mapepo?

Nimekuambia hivi wewe si unamchukia kagame? Njoo basi umuondoe madarakani or shut your hole that is spewing sewage here. Dimwit. Nilishakuambia kuwa utakachoambulia kwa kumchukia raisi wetu ni kitu kimoja tu. Vidonda vya tumbo.
 
unachekesha kweli, kwani iddi amini alikuwa anawatisha Nshomile pale kagera, au Nyerere ikulu Dar? watanzania na wanyarwanda wa kawaida hawana matatizo, tatizo ni kagame na tutsi-extremists wenzie!

hujui lolote kumbe wewe ndo viongozi hao wapum++bavu so ungekuwa wewe rais ungepeleka nchi vitani hata kama si kwa maslahi ya nchi na wananchi?idi amini kama sikosei aliclaim sehem ya tz na kuua watu na pia idd amin was a dictator he wasnt a legitimate leader of uganda ndo maana it was easy for mwl to oust the guy....hata hvo inawagarimu watz hadi kesho.....huna akili
 
wasaliti wa rwanda hawatakuwa salama hata kidogo.....tengeneza maneno ya kiswahi vyovyote unapenda ila huo ndo ukweli
 
Hii nchi inawahamiaji haramu wengi, jina lako tu laonyesha dhahiri ww si mtanzania, wanaompenda kigali si ma- cockroach(tusi) wenzake

mmh hata ningekuwa naitwa Rwanda haikuondolei tatizo la kukosa info...u are not informed that is very obvious so jina halina maana sana hapa...au unapoza machungu ya kuropoka?
 
mbona kila mtu hudai ameishi na watutsi?siamini kama ubaguzi mnauchukulia kwa individual concern au something to do with tribe....naogopa mtakuwa kama wanawake ambao huchukia wanawake wenzao bila sababu yoyote.....

Jibu hoja, kwanini ninyi watu wabaguzi tofauti na wahutu damn.....mbona hvyo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…