Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?


No one in Tanzania is taking serious such false and misleading news from fake and discredited papers of Kagame. Go ahead, kill your fellow Rwandans wherever they are!, but STOP mentioning my holy place!
 
Kwa ujinga wako limwili minyama uzembe kama Mkapa unadhani ndio afya bora? muulize Komba mateso ya mwili minyama uzembe akueleze.

poor thinking capacity.
Acha matusi we inaonyesha we ni mnyarwanda rudi sivyo tukikukamata jasho litakutoka
 
You can't be serious?

Wanataka kutuzuga mkuu, we all know what happened, na ni hivi majuzi wauaji waliachiwa huru kwa msamaha, wasemaji wa kaya wakadai ni kaya ilopita ndo ilitoa msamaha na wala siyo current mkulu wa kaya.
 
Hawa jamaa wengi wao wapo pale maporini Biharamulo kusubiri mabasi yatokayo Dar kwenda Burundi na Rwanda.
 
Kwa ujinga wako limwili minyama uzembe kama Mkapa unadhani ndio afya bora? muulize Komba mateso ya mwili minyama uzembe akueleze.

poor thinking capacity.


we mtutsi tulioa sasa utataka kumfananisha Mkapa na dictator Kagame kwa mauaji una Akili vizuri kweli ww? Kuwafananisha ni sawa useme viko sawa Kichuguu na Mlima.
 
Kayumba kajizushia tu! anatafuta attention ya south afrika kwani walikua wamemsahau tangu karegeya alipokufa kayumba alikua kama amesahaulika sasa anataka serikali ya south afrika impe uzito kama ilivyokua ikifanya kwa karegeya.

Allipo uawa
 
Mkuu pamoja na taarifa za huko A Kusini, hapa kwetu ni breki ya PaKa naye analijua hilo.
No cause for panic!
 

Kama unaamini ana maadui basi kaa ukijua hili yeye atakuwa analijua vema sana kuliko wewe unavyodhani, sababu uadui huja kwa matendo na sio baraka hiyo hivyo basi anajua alifanya nini, anafanya nini na atafanya nini pia!!!!!!! Hawezi kuwa anasubiri muujiza ili aondokane na historia yake, atakuwa na maamuzi mpaka sasa!!!!!

Kuwamaliza is one thing na kuua wengi kama ana mpango ni suala jingine, unapokuwa nyikani ukaambiwa kuna simba sita na wanakula watu ni bora kuanza kuua kila unayekutana naye ili ku chance kuwamaliza kuliko kukaa tu kusubiri eti sababu wako wengi kuliko wewe!!!!!!!

Kwenye kombat mapigo unayotoa yanaweza kusababisha wengine kujisalimisha, kukimbia, kutangaza nia ya kutoendelea na hata wakatokea wengine kutaka muongee badala ya kupigana!!!!!!
 
Kagame anatakiwa kupinduliwa na kufukuziliwa mbali as soon as possible pamoja na majarbio yake bado ajue kuwa naye siku zinahesabika maana akina Kayumba na Karegeya wana wafuasi ndani ya jeshi la Rwanda

Atakuwa anayajua hayo kabla hata hujafikiria kuandika kumbuka huyu mtu ni nani katika jeshi na anasifika kwa lipi humo katika specialities!!!!!!!!

Kumpindua na kumfukuza yawezekana ni jambo analolifikiria na kulifanyia kazi kuliko hata kupumua, kwa nini unamfikiria kwa mzani wa kiraia!!!??????

Siku zinahesabika ha ha haaaa........he is a soldier he knew of this way back!!!!!!!
 

Jmali, mokala1989,rushasha & co. (the coalition of dimwits) hawawezi kuelewa analysis nzuri kama hii yako mkuu.
 

Aliyemuua prof Juan Timothy Mwaikusa alikuwa Tanzania. Alikamatwa baada ya Siku cha he akiwa mafichoni morogoro. Alishatangulizwa mbele ya haki...... Tanzania si kama SA. Vidole vote vya Paulo vinavyo igusa Tanzania vinakatwa maramoja.
 

vita ya uganda na tz ina propaganda nyingi sana.. Kiuhalisia sisi ndio tuliochukua ardhi ya uganda. Sasa Amin alitaka kurejeshewa Ardhi yake ndio vita ikaanza...
 

inawezekana kabisa taarifa hii ina uhalisia ndani yake maana mpaka sasa haieleweki who is behind the death of Prof Mwaikusa.
Any way R.I.P Mwaikusa.
 
''Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?''
Wewe na nani ndugu?!
 
Mkuu aliyekwambia wahutu sio wabaguzi ni nani? Kwani ubaguzi una kabila? Kubali ya kuwa kuna ubaguzi kwa baadhi ya watutsi na wahutu. Tafuta "Hutu Manifesto" uone "upendo" unaohubiriwa humo.

nawewe wale wale wabaguzi akina akayesu, gashagazi, bukeye, gahamanyi, manzi nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…