Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

anakaa ofisini miaka sita anatunzwa hadi afe, halafu nesI aliyetumika miaka 45 anaambulia kiko kotoo
Tofautisha kati ya wananchi,wenyenchi na walanchi
 
Tunasubiri yule wa kutoka pemba
au gaflaaa....historia imewekwa ,
na Tazama CDF wa 1 mwanamke.

big up mabeyo
 
anakaa ofisini miaka sita anatunzwa hadi afe, halafu nesI aliyetumika miaka 45 anaambulia kiko kotoo
Ni miaka 42 kwa ujumla siyo sita. Kati ya hiyo hujui amekwenda vitani ndani na nje ya nchi mara ngapi.
 
pale wa juu yake alipofariki ilibidi awe na tahadhari kubwa sana ili nchi isiingie kwenye machafuko kutokana na taharuki iliyotokea
Jeshi haliangalii mambo ya usalama wa ndani, hiyo ni kazi ya polisi na TISS
 
Magu angekuwepo Kuna kajamaa kanaitwa MBUGE LAZIMA ANGEKAPA U CDF
 
Hee kumbe hadi jeshi lina dini tena katoliki, nchi hii ina mengi ya kujifunza ndio maana hata Rais lazima awe mkatoliki.
 
bado tunamuhitaji sana anko mabeyo
Unafiki tu, hata alietoka kabla ya huyu mlisema hivyo hivyo,, tatizo huwa mbadhani, jeshi ndo linaendesha nchi,, kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi hii kutoka matishio ya nje,,
Nchi haiendeshwi na jeshi,, wala jeshi halilindi sheria au katiba. Hiyo ya sheria ni kazi ya polisi, Law Enforcement
 
Mbona walokole wapo wengi tu na wanasifa za kushika hicho cheo!?

Wakatoliki muda wao ulishapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…