Afande YH Mohamed nafasi kashakosaapumzike Jenerali Mabeyo wetu. sasa ni Zamu ya Mathew Edward Mkengule kuwa CDF wetu mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afande YH Mohamed nafasi kashakosaapumzike Jenerali Mabeyo wetu. sasa ni Zamu ya Mathew Edward Mkengule kuwa CDF wetu mpya
Mkuu Pulchra Animo , sio kufanya appointment ya CDF mpya kisiasa, only kufanya uteuzi with more consideration, kama watu wa upande ule pia wapo wenye kukidhi sifa na vigezo, wapewe, kwa hoja ya uwezekano, siku zote waliokuwepo ilia hawakuwahi kupewa kwa marginalisation only ambao ni ubaguzi!.
Mfano reli ya TAZARA, kwa vile ipo Tanzania, then it's statutory DG wa TAZARA, lazima atoke Zambia, Deputy ndio Mtanzania. Hivyo hata Mtanzania awe mzuri vipi, hawezi kuwa DG wa TAZARA.
The same applies to BOT, Gavana wa BOT atatoka Tanzania Bara, na deputy Governor atatoka Zanzibar, lakini kwa miaka mingi hiyo nafasi haikuwa na mtu kwa marginalisation tuu kuwa hakuna Mzanzibari mwenye sifa na vigezo, vya Ph.D ya Uchumi, hadi alipopatikana Juma Reli, kitu ambacho sii kweli. Mwaka 1999, kulikuwa ni binti mmoja wa Kizanzibari, ana Ph.D ya Uchumi alikuwa na head one of department za Citi Bank, pale New York. Kuna Mzanzibari mwingine ana Ph.D ya Uchumi, siku nyingi, ni lecture pale IFM.
Tanzania ni nchi ya JMT, kwenye nafasi za uongozi, Watanzania wa pande zote, dini zote, rangi zote au jinsia zote wapewe fursa sawa bila kubaguliwa. Hata Samia kuwa rais wa JMT, ni kwa kudra tuu za Mwenyeenzi Mungu, vinginevyo mfumo dume ungeendelea kuwabagua wanawake kuwa nchi hii bado haina mwanamke mwenye sifa na vigezo vyote vya kuwa rais wa JMT. Ubaguzi kama huu upo sekta nyingi, tuu, hivyo swali langu hili kumhusu CDF ni valid
tena now ndio more valid kwasababu soon the position of CDF will fall vacant.Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
Wanabodi, Hii ni thread ya swali tuu, sio thread ya udini au ukabila. Je, kuna uhusiano wowote kati ya dini/kabila la mtu na ukakamavu ndani ya majeshi yetu nchini Tanzania? Je, kuna uhusiano wowote wa kati ya kabila la mtu na ukakamavu wa majeshini? Je, watu wa dini fulani au makabila fulani...www.jamiiforums.com
P
Ukijibiwa hilo swali,pia uulize ni kabila gani?Dini gani?
..na kuna manesi wanaosimama usiku kucha ktk kuwauguza wenza, watoto, na wazazi, wa askari wanaolinda mipaka.
..bila manesi, askari walioko mipakani ingebidi wawe ktk hekaheka za kuuguza wapendwa wao, na wakati huohuo wabebe jukumu la kulinda mipaka.
Hii argument ya nurse vs CDF nadhani haina kichwa wala miguu. TPDF ina kila fani, including fani ya manesi. Mnataka kusema nurse mwenye cheo cha captain anastahili retirement benefits bora kuliko za CDF au mnaona civilian nurses ndio manesi zaidi kuliko waliomo jeshini?
Alifanya kazi nzuri kuzuia vibaka wafuasi wa yule dikteta kufanya uhuni baada ya boss wao kufariki.
Basi Kama taifa tunasafari ndefu sana ya kwenda kwa mentality Kama hiziNdio
Ungejua ukubwa wa cheo cha CDF, usingedhani anaweza kuja kujiingiza kwenye siasa..ndio walewale.
..sitashangaa nikisikia kachukua fomu kupitia Ccm.
Tunategemeana japo majukumu siyo sawa..na kuna manesi wanaosimama usiku kucha ktk kuwauguza wenza, watoto, na wazazi, wa askari wanaolinda mipaka.
..bila manesi, askari walioko mipakani ingebidi wawe ktk hekaheka za kuuguza wapendwa wao, na wakati huohuo wabebe jukumu la kulinda mipaka.
Mara magaidi, mara upinzani waliuawa, mara CCM sijui imefanya nini,..ongea hivyo ukiwa hujaugua au kuuguliwa.
..pia mbona magaidi waliokuwa wakiteka na kutesa wapinzani walikuwa hawakamatwi wakati tuna jeshi linalojitambua?
..pia ilikuwaje magaidi wakaingia ktk eneo la serikali na kujaribu kumuua mbunge huku tukidai tuna jeshi imara?
..kwanini kulitokea mlipuko wa bomu ktk ofisi za mwanasheria mwanaharakati karibu kabisa na makao makuu ya jeshi na wahusika hawakukamatwa?
NB.
..unakumbuka sakata la gesi Mtwara na mikoa ya kusini? Unakumbuka vikosi gani vilishiriki kupiga na kuumiza wananchi wale?
..magaidi wa mkiru tunawalaani vikali na kwa nguvu zote. lakini tukiwa wakweli tutabaini kwamba ni matokeo ya utawala mbaya na sera mbovu za Ccm kwa mikoa ya kusini.
..mbona haku-deal na vibaka wakati boss wao yuko hai?
Ungejua ukubwa wa cheo cha CDF, usingedhani anaweza kuja kujiingiza kwenye siasa
CDF ni mkubwa kuliko huyo mkubwa
..ni argument kati ya umuhimu wa mdunga sindano vs mdunga risasi.
..manesi wote ni muhimu. Na wanajeshi wote ni muhimu.
..pia kuna umuhimu wa kuboresha retiment benefits za kada zote. Kusiwepo ubaguzi kuwa hawa ni wanajeshi, manesi, etc.
Ndiyo maana tunasema katiba mpya inahitajika effectively!Anakaa ofisini miaka sita anatunzwa hadi afe, halafu nesI aliyetumika miaka 45 anaambulia kiko kotoo
Mkuu during that time ilikua ni one say tu hakuna kugeuka kushoto au kulia sio mbele wala nyuma.
Nina marafiki zangu waliokua karibu na ile meza sio wote walikua wakifurahia madhila yaliyokua yakitokea ila walikaa kimya kosa lao ni kukaa kimya tu ila rohoni sio wote walikua wakikubaliana na yule mtu.
unamkumbuka Afande CDF Robert Mboma?Ungejua ukubwa wa cheo cha CDF, usingedhani anaweza kuja kujiingiza kwenye siasa
CDF ni mkubwa kuliko huyo mkubwa
..asante kwa ushauri wako, nimeupokea.Sema kuboresha retirement benefits za watumishi wote. Hakuna sababu ya kuwataja wanajeshi na manesi. Humo jeshini kuna manesi pia na fani zingine karibu zote!
Mara magaidi, mara upinzani waliuawa, mara CCM sijui imefanya nini,
Wewe ni punda unayejichanganya