Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

Hawa wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama na wanao waongoza waliliheshimisha sana na kulivusha hili Taifa wakati wa kipindi cha jaribu kuu cha mpito cha ule msiba wa JPM. CDF astaafu kwa heshima zote zinazo wastahil wale wote waliokunywa maji ya Bendera.
 
Very wrong statement of the year, kwani Muislam siyo mtu, hana haki kushika wadhifa serikalini. Statement kama hizi ndizo zinaleta migongano katika jamii yetu
Kwani mm mkuu nimesema kuteuliwa Muislam ni dhambi?
 
..wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wana chombo chao ambacho kinaongozwa na Cdf.

..Sasa najiuliza kwanini WATU WASIOJULIKANA walikuwa wanatamba huku tunaye Cdf tunayesema uongozi wake umetukuka?
story za wasiojulikana ni za jf tu,wale wanajulikana na wanapewa kazi kabisa ya kudeal na viazi mbatata.
 
..wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wana chombo chao ambacho kinaongozwa na Cdf.

..Sasa najiuliza kwanini WATU WASIOJULIKANA walikuwa wanatamba huku tunaye Cdf tunayesema uongozi wake umetukuka?
Chombo gani hicho?,,.
Jibu la wasiojulikana tafuta kitabu cha Brad Thor kinaitwa THE LIST,, huko majibu utayapata
 
..wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wana chombo chao ambacho kinaongozwa na Cdf.

..Sasa najiuliza kwanini WATU WASIOJULIKANA walikuwa wanatamba huku tunaye Cdf tunayesema uongozi wake umetukuka?
Ulishawahi kumsikia CDF akisema kuna watu wasiojulikana? Hao muulize siro .
 
Back
Top Bottom