Mayalla, unataka military career progression ifanyike kisiasa?
History ya jeshi ambayo haina hata ten generals ni fupi sana kuifanyia desktop analysis. Unahitaji kupata composition ya jeshi by:
[emoji828]️Soldier’s URT part of origin (whether Tanganyika or Zanzibar)
[emoji828]️Soldier’s region of origin
[emoji828]️Soldier’s tribe
[emoji828]️Soldier’s religion
Let’s assume, for the sake of it, kwamba jeshi letu (linalokadiriwa kuwa na active personnel 27,000) lina askari 25,000 kutoka Tanganyika na askari 2,000 kutoka Zanzibar. Unataka pool ya askari 25,000 na pool ya askari 2,000 ziwe na equal probabilities za kuzalisha an army general? That would be pure politics!
Dimensions zingine (mkoa, kabila na dini) nazo zinakuwa affected na composition ya jeshi in a similar fashion, more or less!
Mkuu
Pulchra Animo , sio kufanya appointment ya CDF mpya kisiasa, only kufanya uteuzi with more consideration, kama watu wa upande ule pia wapo wenye kukidhi sifa na vigezo, wapewe, kwa hoja ya uwezekano, siku zote waliokuwepo ilia hawakuwahi kupewa kwa marginalisation only ambao ni ubaguzi!.
Mfano reli ya TAZARA, kwa vile ipo Tanzania, then it's statutory DG wa TAZARA, lazima atoke Zambia, Deputy ndio Mtanzania. Hivyo hata Mtanzania awe mzuri vipi, hawezi kuwa DG wa TAZARA.
The same applies to BOT, Gavana wa BOT atatoka Tanzania Bara, na deputy Governor atatoka Zanzibar, lakini kwa miaka mingi hiyo nafasi haikuwa na mtu kwa marginalisation tuu kuwa hakuna Mzanzibari mwenye sifa na vigezo, vya Ph.D ya Uchumi, hadi alipopatikana Juma Reli, kitu ambacho sii kweli. Mwaka 1999, kulikuwa ni binti mmoja wa Kizanzibari, ana Ph.D ya Uchumi alikuwa na head one of department za Citi Bank, pale New York. Kuna Mzanzibari mwingine ana Ph.D ya Uchumi, siku nyingi, ni lecture pale IFM.
Tanzania ni nchi ya JMT, kwenye nafasi za uongozi, Watanzania wa pande zote, dini zote, rangi zote au jinsia zote wapewe fursa sawa bila kubaguliwa. Hata Samia kuwa rais wa JMT, ni kwa kudra tuu za Mwenyeenzi Mungu, vinginevyo mfumo dume ungeendelea kuwabagua wanawake kuwa nchi hii bado haina mwanamke mwenye sifa na vigezo vyote vya kuwa rais wa JMT. Ubaguzi kama huu upo sekta nyingi, tuu, hivyo swali langu hili kumhusu CDF ni valid
Wanabodi, Hii ni thread ya swali tuu, sio thread ya udini au ukabila. Je, kuna uhusiano wowote kati ya dini/kabila la mtu na ukakamavu ndani ya majeshi yetu nchini Tanzania? Je, kuna uhusiano wowote wa kati ya kabila la mtu na ukakamavu wa majeshini? Je, watu wa dini fulani au makabila fulani...
tena now ndio more valid kwasababu soon the position of CDF will fall vacant.
P