Pamoja suala la pande mbili za muungano siyo! Basi ondoa shaka ndugu, haiwezi kuwa safari hii...Afadhali... kwenye uteuzi wa CDF mpya, hoja za bandiko hili Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu?. Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
zijibiwe.
P
..tuna Jaji Mkuu Mstaafu, na Cdf Mstaafu, ambao waliwahi kugombea kupitia Ccm.
Naona mchuano utakua kati ya hawa wawili..afande mkingule au afande mzee, mmoja wapo lazima atabeba kijitiMeja Jenerali Suleiman Mzee
Acha nadharia hakuna mkubwa Zaidi ya huyo mkubwa.Ungejua ukubwa wa cheo cha CDF, usingedhani anaweza kuja kujiingiza kwenye siasa
CDF ni mkubwa kuliko huyo mkubwa
Zanziber🤣🤣🤣🤣Sawa. Tunamsubiria CDF mpya kutoka....!
It’s rare, lakini hakuna cha ajabu hapo. Hata Charles Evans Hughes (then a sitting U.S. Supreme Court justice) alijiuzulu akagombea Urais wa Marekani kwa ticket ya Republican mwaka 1916. Hakushinda uchaguzi.
Another Republican, William Howard Taft, who had served as the 27th President of the United States (1909-1913), became the tenth Chief Justice of the United States (1921-1930), the only person to have served in both of these offices.
Apumuzike vyema Mtumishi mwwnifu huyo. Sehemu moja tu alitukwanza kama binadamu ni kuenea kwa wasiojulikana nchini kiasi cha kutisha usalama wa raia.Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu.
Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda ukingoni mwezi huu.
Jenerali Mabeyo amehudumu nafasi ya Mkuu wa Majeshi kwa miaka 6 sasa baada ya kuteuliwa mwaka 2016 na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli.
Katika uongozi wake kama CDF, alishuhudia kukabidhiwa kwa madaraka kwa Rais wa kwanza mwanamke, Samia Suluhu Hassan baada ya kifo cha mtangulizi wake.
Daima utumishi wake uliotukuka utaendelea kukumbukwa ndani ya JWTZ na Nchi kwa ujumla. Nikutakie maandalizi mema ya kustaafu Jenerali Mabeyo
View attachment 2252170
Hehehe hao ndio wanaowaweka madarakani. Nesi atalipwa na Mungu huko mbeleniAnakaa ofisini miaka sita anatunzwa hadi afe, halafu nesI aliyetumika miaka 45 anaambulia kiko kotoo
..mwaka 1916 Charles Hughes alitoka kwenye Ussc na kugombea Uraisi ni miaka zaidi ya 100 tangu Marekani ipate uhuru na wakiwa na demokrasia ya vyama vingi.
..sidhani kama ni sahihi kulinganisha au kuhalalisha jambo hilo hapa Tz wakati demokrasia yetu bado ni changa.
..tunahitaji sheria itakayoweka kipindi cha mpito tangu mhusika astaafu ktk vyombo vya ulinzi, mahakama, etc kabla hajaruhusiwa kugombea nafasi za kisiasa.
Well saidSiku nyingine usiandike Taarifa za Jeshi
mmmmmh kwann?CDF mwanamke aja
Tunahitaji miaka mingapi ili tuonekane kukomaa?
kwa akili yako mkuu, unataka kusema majukumu ya CDF ni sawa na ya nesi mwenye kazi ya kuchoma sindano? Afande CDF amelitumikia jwtz kwa miaka zaidi ya 40. Unataka akistaafu atelekezwe kama mlinzi wa bustani? Anastahili kutunzwa kwa aliyoyafanya katika taifa hili.Anakaa ofisini miaka sita anatunzwa hadi afe, halafu nesI aliyetumika miaka 45 anaambulia kiko kotoo
Hizo ni nongwa za baadhi ya watu wasiojielewakwa akili yako mkuu, unataka kusema majukumu ya CDF ni sawa na ya nesi mwenye kazi ya kuchoma sindano? Afande CDF amelitumikia jwtz kwa miaka zaidi ya 40. Unataka akistaafu atelekezwe kama mlinzi wa bustani? Anastahili kutunzwa kwa aliyoyafanya katika taifa hili.
Swali fikirishi sana..wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wana chombo chao ambacho kinaongozwa na Cdf.
..Sasa najiuliza kwanini WATU WASIOJULIKANA walikuwa wanatamba huku tunaye Cdf tunayesema uongozi wake umetukuka?
MpuuuzUmewahi kuona lieutenant general mwanamke...?