Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

Huo ni wajibu wao
Hata Sisi walimu tunasimama kidete kuwafundisha wanafunzi
Hatupaswi kusifiwa kwa kufundisha ila tunapaswa kusifiwa kama tukiendesha magari au tukibeba bunduki na kupigania vita
Mna maneno nyie, ha hahahaha haaaa!

Lakini mbona bunduki ulishafundishwa kuitumia huko JKT. Niwajibu wako pia kupigana vita!
 
Really!!?
akili yako haijaona tofauti Magufuli akiwa hai na akiwa amekufa?
unaelewa maana ya power vacum?

..Magufuli alikuwa akisigina Katiba, sasa kwanini hawakusimama kidete kuilinda katiba wakati huo?
 
Salute to General Mabeyo.

Wakati Majeshi ya Nchi nyingi za Kiafrika huwa yako mstari wa mbele kuvunja Katiba za Nchi zao JWTZ imeonyesha mfano.
Upo nchi gani wewe ,,, ni katiba ya nchi gani walikuwa wanalinda? Maana ya bongo inavunjwa waziwazi
 
Mbona hajaongelea ile kesi ya mchongo ya ugaidi ya kina Mbowe?
 
Ka
Aisee tafuta 2005 mgombea Urais Chadema alikuwa nani? Na alipata kura 500,000
Kama hiyo jamaa ndo kamaliza form 6 sa hivi unahisi anaweza kumbuka aliekuwa mgombea 2005?? Si alikuwa bado mdogo
 
Ku facilitate Smooth transition naona bado sio issue ya Kujisifia, They were deserve to do that, what am i worried ni kuwa hawa seniors officials waliopo kwenye izo Intelligence communities walifanya nini kumlinda The late mpaka anakufa kifo tata vile
 
Alichofanya alizuia maccm yaliyotaka kumpindua Samia kisa Hana degree kama Sheria inavotaka wakati Mzee magu amedanji. Lakini ccm kila siku wanavunja Sheria yeye ameufyata. Asituchuze
Uongo Mbowe mbona aliruhusiwa kugombea uraisi wakati ni form six division zero

Hakuna sheria inayosema Raisi lazima awe na digrii
 
Mjeshi anapostaafu na kujiandaa kuwa mwanasiasa hapo baadae lazima atafute kiki za namna hii…usitafute sifa kwa kutimiza wajibu wako…
Wala hajiandai kwa siasa. Amachosema nikweli na katika viapo vyao wanaapa kuilinda katiba ya nchi.
Ulitaka wasitimize hayo majukumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…