Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Zingatia uwekaji wa koma na nukta kwenye post yako, kodi ni takwa la kisheria hata ingekuwa serikali ya kijeshi, acha hii ya kura fake. Hapa ninachofanya ni kuanika uhayawani wenu hadharani. Hutaki kunywa sumu.
We piga tu kelele humu si tatizo ila kwenye ulimwengu wako halisi wa majina yako matatu endelea kutii sheria bila shuruti na kulipa kodi kwa serikali ya ccm.
 
Zingatia uwekaji wa koma na nukta kwenye post yako, kodi ni takwa la kisheria hata ingekuwa serikali ya kijeshi, acha hii ya kura fake. Hapa ninachofanya ni kuanika uhayawani wenu hadharani. Hutaki kunywa sumu.
Ukimaliza kuanika ukitoka humu kwenye pato lako lipa kodi kwa uliowaanika na tii sheria. Ni hilo tu. Hayo ya sumu na koma si tatizo lako.
 
Mawakala walitolewa nje na wengine hawakuruhusiwa kuingia kabisa vituoni. Na hayo tumeyaona kwa macho yetu.
kwahiyo hii ilifanyika nchi nzima..mbona hatujasikia mawakala wakilalamika yoyote...kutolewa nje ni kawaida Kama hukuwa umesajiliwa kituo husika...taratibu zilifuatwa..asilimia zaidi ya 90 nchi nzima mawakala walikuwepo..asilimia 10 hao ndio walichomekwa kihuni na vyama husika bila utaratibu..Nani alaumiwe
 
Hivi nyinyi vibaraka wa mhutu mnajua impact ya mnayoyafanya kwa kumsifu na kumwabudu Mhutu kwa sifa ambazo hana ? Hatakwa maovu anayoyafanya ? Mnajua impact yake kwa nchi , watanzania na dunia ?
 
Na mawakala walioteuliwa na vyama walisaini karatasi zote wasilete sababu za kijinga.Kumbuka hata Lisu alivyohojiwa alisema uchaguzi uko vizuri sana baada ya kupiga kura.
 
Kama na wewe hawatakuelewa jomba hao wafia chama ujue basi Tena tume stuck.
 

Halikufanyika nchi nzima bali ni sehemu kubwa ya nchi, usikie malalamiko kupitia chombo gani cha habari? Maana vyombo rasmi vya habari kama magazeti, redio na TV hazikuwa zinaruhusiwa Kutangaza huo ushenzi, mitandao ya kijamii ndio hiyo ilizuiwa zaidi ya wiki mbili. Ulitaka upate taarifa hizo kupitia wapi? Asilimia kumi ipi? Nasema hivi, kilichofanyika tumekiona kwa macho yetu, ndio maana 2/3 ya watanzania, hawakujitokeza kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi maana umepoteza credibility.
 
Kwani nawalipa wao kodi, hiyo kodi ni hela yao? Unajua unachoongea dogo?
Inapopelekwa kodi si kazi yako, kuna wenye hiyo kazi, kama unataka kufahamu subiri taarifa ya CAG uisome kodi ilivyotumika. Kodi inalipwa kwa serikali ya ccm. Hayo maswali ya kwani hela ni yao na kuitana dogo ni kutaka kuleta mjadala usio na maana.
 
Jadili hoja alizozisema .
 
Hapo zamani akiwa kijana na njama zao akijidai mwanamapinduzi na mfuasi mkubwa wa itikadi ya ujamaa na kujitegemea hivi leo kila akifungua mdomo kwenye vyombo vya nchi za kibeberu ni kukandia tu chama na nchi iliyomlea.
Mkuu kasema lipi la uongo hapo? Pliz usikimbie swali
 
Kama siyo habari umekoment kutaka nini? Au buku 7?
 
Kwaheri whisk kama ndio inatepesha macho namna ile. Mimi nikajua mimi ndio nayaona peke yangu. Dingi yule kweli atakuwa na damu ya mchina maana si kwa kuinanga nchi yetu kila akibinua mdomo.
Mkuu kasema kipi kibaya au ambacho siyo kweli?
 
Inapopelekwa kodi si kazi yako, kuna wenye hiyo kazi, kama unataka kufahamu subiri taarifa ya CAG uisome kodi ilivyotumika. Kodi inalipwa kwa serikali ya ccm. Hayo maswali ya kwani hela ni yao na kuitana dogo ni kutaka kuleta mjadala usio na maana.

Nasema hivi dogo, huku umejichanganya maana utatapika damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…