Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Acheni kubeza maamuzi wa wananchi nyie manyumbu...mnataka kuaminisha watu kwamba kura ziliibwa..mnajidanganya wenyewe..sisi wananchi ndio tumepiga kura na tunajua Nini tulichofanya..adhabu tumewapa na nendeni mkajifunze siasa Tena..pumbuf kabisa...nendeni mkakae na wazungu wenu ambao watawaweka ikulu Sasa...si hao ndio mnawaamini...nendeni kwao ili wawalete ikulu...mnaumwa vima nyinyi...shwainnnyyyyy....nawaambieni leo tukirudia uchaguzi nakwambia mnaweza kuona maajabu...hata kura moja hamtaambulia, zile mlizoambulia shukuruni Mungu Sana..msimdhihaki Mungu
Ebu soma vzr ulichoandika yaan unajihukumu mwenyewe kwenye bandiko lako
 
Mkuu! Kama hujui kilichofanyika,busara ni kunyamaza. Tunaojua kilichofanyika tunabaki na maumivu yetu moyoni maana nyeusi iliitwa nyeupe na ikawa hivyo mpaka leo.
Ucmjibu huyo katumwa kapiga kura peke yke et anasema wananch
 
JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.

Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.

May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Ridhiwani Kikwete atapewa Uwaziri au unaibu waziri na JPM

JK anajua kilichofanyika ila atakuja kuleta maneno ya kuomba radhi na kujirudi kwa wananchi miaka ya baadae akishachoka zaidi kama ilivyokuwa kwa Mkapa.
 
JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.

Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.

May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Huyu jamaa aliyeandika sredi hii ni mzima wa afya ya akili kweli?
 
Tuanzie hapo kwanza, kwani JK enzi hizo anashinda uchaguzi ulikua huru na wa haki?!
 
JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.

Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.

May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Mkuu,
Jamaa aliiba kwa jeuri ya wazi kabisa, kwa kujuwa kwamba hakuna mdudu hata mmoja wa CCM wataweza kumnyooshea kidole.
Ni hivi; tofauti wa wizi wa JPM na wizi wa CCM uliopita ni ufundi tu wa kufanyia huo wizi wenyewe. JK atawezaje kumwambia wakati wanajuana mitindo yao? Tatizo walimsusa, hawakumpa mikoba ndio maana jamaa akaenda mchomo!
 
JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.

Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.

May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Mbona Jakaya ameshasema........
Tatizo vyombo vya Habari havitangazi na hata vikitangaza wengi tunakua hatuelewi maana anatumia lugha za kiungwana sana
 
Nimekuelewa sana mkuu.
KUVUTA KWAKE BADO NI MASWALI KWA VIPENYO ....HAKUWA MTU MWENYE FURAHA ......NA KIKWETE ANAJUA KILA KITU KWAKUA ALIMUAMBIA KWA KIREFU ...IPO SIKU UKWELI UTAWEKWA HADHARANI ....LAKINI HAPA MWISHO HAKUWA TENA FAVORITE WA WAPAMBE WA JUHA KWAKUA ALIANZA KUIONA KESHO YA WAJUKUU ZAKE AKAANZA KUONGELEA VYAMA VYA UPINZANI KUACHWA VIWE NA NGUVU , DEMOKRASIA ,TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA ...HOTUBA YAKE SIKU ANAZINDUA KITABU NA YALIYOMO KWENYE KITABU YALIMTAMBULISHA MKAPA MPYA AMBAYE ALIKUWA AKIJUTIA KESHO YA NCHI YAKE KAMA MAMBO HAYO HAYANGEANGALIWA ...

NA HUO NDIO UKWELI ..UHAKIKA WA CCM KUDUMU MILELE UPO KWENYE KUWA NA KATIBA MPYA AMBAYO ITAWEKA MISINGI IMARA YA KUBADILISHANA MADARAKA KWA AMANI .....ITAHAKIKISHIA CCM HATA SIKU WAKISHINDWA WASIFUTIKE KAMA BAATH PARTY AU GREEN PARTY ..
BILA HIVYO HATA KAMA WATATUMIA MABAVU IKISHINDIKANA DEMOKRASIA WANAWEZA KUONDOLEWA KWA NGUVU ...NA HII ITAFANYA WATAKAOINGIA WAPIGE CCM MARUFUKU [ HIYO SIO NDOTO BALI NDIO SHERIA YA HISTORIA ] .,,WAKITAWALA VIBAYA NCHI IKAPINDULIWA WATAPIGWA MARUFUKU , WATAFILISIWA NA KATIBA MPYA IKIUNDWA HAITATOA NAFASI NZURI KWA CCM NA ITAFUTIKA KWENYE USO WA DUNIA ....
MALAWI WANA KATIBA NZURI CHAMA CHA ZAMANI TAWALA KILISHINDWA UCHAGUZI ENZI YA BANDA LAKINI LEO MIAKA 20 BAADAYE WAMEWEZA TENA KURUDI MADARAKANI ...HIYO NDIO DEMOKRASIA TUNAYOTAKA ..HATUTAKI CCM IJE IFUTIKE ....MAANA UKWELI NDIO HUO BILA REFORMS WATAONDOLEWA KWA NGUVU CHAMA NA VIONGOZI WAKE WOTE WATABAKIA HISTORIA AU JEL
 
Katika nguzo za kiislam ipo na kuhiji makka.
Sasa jiulize,kwa waroma mtu huyo huwa ni mtakatifu sana.
Pia waislam

Kama Alhaj Ally hassan mwinyi pamoja na umri wake na hija yake bado ni mnafiki Jk atakuwaje msafi kwenye hili?

Mwisho wa siku utasikia jk,mwinyi,shein amani karume na viongozi wengi mwezi ramadhani wamefunga.

Kama masheik maaskofu wanaunga mkono udhalimu atakuwa muumini tu Jk?

Askofu M
Ngwajima yule pale kakubali kuibiwa kura awe mbunge,jk ni nani?

Ngwajima huyuhuyu kuna siku utamkuta kwenye mimbari akihubiri watu waache dhambi wakati yeye amebariki wizi.
SiASA NI PEPO
Mzee mwinyi na JK mnawaonea bure
Hawataki bughudha
Je wajua Jakaya ameshawahi kutatizwa na jiwe?
Jiwe hana adabu mwinyi akikenua anaweza kujikuta segerea
Kama aliwaambia wastaafu wanawashwawashwa sasa unataka nini?
 
Acheni kubeza maamuzi wa wananchi nyie manyumbu...mnataka kuaminisha watu kwamba kura ziliibwa..mnajidanganya wenyewe..sisi wananchi ndio tumepiga kura na tunajua Nini tulichofanya..adhabu tumewapa na nendeni mkajifunze siasa Tena..pumbuf kabisa...nendeni mkakae na wazungu wenu ambao watawaweka ikulu Sasa...si hao ndio mnawaamini...nendeni kwao ili wawalete ikulu...mnaumwa vima nyinyi...shwainnnyyyyy....nawaambieni leo tukirudia uchaguzi nakwambia mnaweza kuona maajabu...hata kura moja hamtaambulia, zile mlizoambulia shukuruni Mungu Sana..msimdhihaki Mungu
Kwahiyo wewe unabishana na katibu wako mwenezi (Polepole) aliyetangazia dunia kuwa chadema walichapisha kura fake?
 
Nawe Vaa viatu vyake uone, familia imeshaangaliwa vyema hataki bughudha.

Hata Mzee Ally Hasan ukimuuliza atakwambia "naomba mniache please".
Ukiangalia nchi kama US utasikia wanazungumzia "our fore fathers" then wanawataja akina Washington, Lincoln... wanasifia kazi zao. Naona huku kwetu Jamaa wataendelea kutukanwa na kuchukiwa kwa miaka 200 ijayo.
 
Uchaguzi Huru na Haki duniani kote hakuna, labda Mbinguni tu, Generali naona hili bado hajui vizuri.
 
JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.

Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.

May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Hilo ni tabaka tawala,mfumo unamnufahisha yeye na familia yake,ndugu zake,hakuna awamu iliyokuwa na majambazi(yaliyovaa suti)Kama ya Kikwete,wizi wa mabenki mchana kweupeee,
 
Hakika! Ingawa hapa mie ni kama namkumbusha JK kuwa "akili za kuambiwa ........................?" Tunamsubiri asifie ushindi!
Kujipekeza kabudi hakufikii, umeamua kujitoa ufahamu , ina maana Leo mama Salma na Riz1 siyo CCM wait wamepata kura halali ila wengine wameiba kura?
Basi chadema leteni orodha ya waliopata kura halali na walioiba kura siyo ukiwa na njaa yako unaanza kujikomba kwa JK.
 
kwa niliyosoma kutoka katika thread hii nimeamini upinzani wa Tanzania unawatu wenye shida katika akili zao yani wanateseka hawana amani wala matumaini tena .

hata katika maisha ya kawaida ukiona mtu ameshikilia Sana mambo yaliyopita ujue afya yake ya akili haiko sawa.

sawa uchaguzi haukuwa huru na wahaki so what? mnachoweza kubadilisha ni kipi sasa JPM . ameshaapishwa mkae mtulie mjue hakuna tena marudio wala huruma itakayowaona nyinyi kila mtu ameshawasahau na kuwapuuza

Askari hanaga mwangwi vitani pigeni mbiu kusonga mbele tambueni madhaifu yenu, yafanyieni kazi mapungufu mliyoyaona waacheni mbwa waliokimbia nchi na kwenda kubweka huko nje hawanga'ti ni mbwa koko.

eti vikwazo vikwazo mkae mkjua kila mtu katika hii nchi anauwezo wa kuwa kiongozi vipi chadema bila lisu, mdee , mbowe nyarandu, lema haiwezekani?

mkiendelea na huu ujinga wenu huku mitandaoni mtaendelea kuwa kituko. magufuli alikuwa bora mara 10 zaidi ya upinzani ndiyo maana akashinda kwa kishindo.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.

Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.

May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Tunahitaji kupigana vita na genge ccm ni balaa kwa nchi yetu.
 
Id ya october 2020, hii ni moja wapo kati ya Id nyingi za mwaka huu humu mitandaoni, na lengo lake ni kutetea ushindi wa shetani.
Nakufahamu wewe na kelele zako za I'd ya October na kuita watu dogo. Uchaguzi umeshaisha kelele humu hazisaidii.
 
Utachoshwa na mkimbizi hawa wenye uraiya kuungaunga huwa wanamatatizo
Hana ushahidi huo...Huyo Ndugu yetu anaropoka tu ....halafu eti anaitwa ni mwandishi wa habari mwenye weledi....ni weledi gani kwa kutangaza Mambo ya uzushi...akiambiwa atoe ushahidi atazungusha macho tu...huyo Ndugu Ana chuki na mamlaka tangu enzi za Mkapa..yeye ni mwandishi wa habari?! Wanaomtetea watuthibitishie alisomea chuo gani Cha uandishi..kumiliki magazeti Haina maana wewe no mwandishi wa habari kitaaluma...siwapendi watu wanaojificha kwenye taaluma na kukosoa wengine kwa sababu ya chuki binafsi..
 
Back
Top Bottom