Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

JK ninafaham your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.
Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida. May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Baada ya Mwalimu kufariki, CCM ilikufa kikasalia kigroup cha wachumia tumbo hadi leo!
 
Acheni kubeza maamuzi wa wananchi nyie manyumbu...mnataka kuaminisha watu kwamba kura ziliibwa..mnajidanganya wenyewe..sisi wananchi ndio tumepiga kura na tunajua Nini tulichofanya..adhabu tumewapa na nendeni mkajifunze siasa Tena..pumbuf kabisa...nendeni mkakae na wazungu wenu ambao watawaweka ikulu Sasa...si hao ndio mnawaamini...nendeni kwao ili wawalete ikulu...mnaumwa vima nyinyi...shwainnnyyyyy....nawaambieni leo tukirudia uchaguzi nakwambia mnaweza kuona maajabu...hata kura moja hamtaambulia, zile mlizoambulia shukuruni Mungu Sana..msimdhihaki Mungu

Wananchi gani? Ule ushenzi, uhayani, ukatili wa wazi na umwagaji damu tumeeuona kwa macho yetu. Kwenye nchi za madictator uchaguzi huwa unafanywa na vyombo vya dola, kisha inafanyika propaganda ya nguvu kushurutisha watu waamini kuwa ni maamuzi ya wananchi. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Hakukua na uchaguzi bana.labda tujitoe tu akili ili maisha yaendelee maana wakati nao utapita na hata waliofanya hiyo filamu wakaiita uchaguzi nao watapita.Ngoja tusubiri tuone maajabu ya muda utakavyoamua.
 
Ila ni kweli magu kaipatia hii inchi hataki bugudha kabisa viongozi wote kawablackmail hawana ujanja
Asiridhie ilhali mwanae na mkewe wamepewa ubunge?

Musolini wakati anaeneza ufashisti huko Italy aliwaziba mdomo hadi viongozi wa kiroho kwa kuwapa waliyohitaji kisha wakakaa kimya!!

Kuhani mkuu KAYAFA anaishi mule mule katika nyendo za Musolini. Anawapa vipande vya Fedha makasisi kwa mashemasi plus wazee wa baraza ili atawale vizuri katika ukuhani wake.

KAYAFA ameiweza sana hekalu hii.
 
Mbona sasa umejibu? Si unhgenyamaza tu uonekane wa maana kusimamia usemi wako kuwa Uchaguzi umeisha! Else acha nikusababishie msongo wa mawazo na wewe kwa kuona uharo uliomo kwenye post yako!
Sasa ungejuaje kama ana mawazo hayo aliyoyatoa?
 
JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.

Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.

May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Wewe endelea kuweweseka, uchaguzi umeisha, watu makini wanajadili uchaguzi ujao!
Kwani ulimuona JK anamfanyia kampeni Lisu?
 
Wananchi gani? Ule ushenzi, uhayani, ukatili wa wazi na umwagaji damu tumeeuona kwa macho yetu. Kwenye nchi za madictator uchaguzi huwa unafanywa na vyombo vya dola, kisha inafanyika propaganda ya nguvu kushurutisha watu waamini kuwa ni maamuzi ya wananchi. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Haha hahahah njooni tena 2025..nendeni mkajipange na kujifunza upya...tuambie ni role ya mawakala wenu ilikuwa nini labda...Je mliwaruhusu washirikiane na ccm kufanya unayolala mikia. Tuambie ni tuelewane basi
 
Acheni kubeza maamuzi wa wananchi nyie...mnataka kuaminisha watu kwamba kura ziliibwa..mnajidanganya wenyewe..sisi wananchi ndio tumepiga kura na tunajua Nini tulichofanya..adhabu tumewapa na nendeni mkajifunze siasa Tena.....nendeni mkakae na wazungu wenu ambao watawaweka ikulu Sasa...si hao ndio mnawaamini...nendeni kwao ili wawalete ikulu...mnaumwa vima nyinyi.......nawaambieni leo tukirudia uchaguzi nakwambia mnaweza kuona maajabu...hata kura moja hamtaambulia, zile mlizoambulia shukuruni Mungu Sana..msimdhihaki Mungu
Mkuu! Kama hujui kilichofanyika,busara ni kunyamaza. Tunaojua kilichofanyika tunabaki na maumivu yetu moyoni maana nyeusi iliitwa nyeupe na ikawa hivyo mpaka leo.
 
Toka alivyofurumshwa na Mkapa huyu mh ana hasira na uongozi wa nchi hii. Yeye kwake kila kiongozi wa serikali ni mbaya kuanzia Mkapa, Lowassa, JPM na yeye kama alivyo Mbeligiji mweusi kila kitu anakijua yeye, huyu ndio aligoma kuachia madaraka ya katibu mkuu wa vijana wa Afrika kule Algiers alitakiwa amwachie Prof Kabudi. Ulimwengu ni mtu wa figisu sawa na wale makomandoo wa klabu za Simba na Yanga. Ni mbinafsi mno.
Hoja hujibiwa kwa hoja. Achamipasho kama H. Kopa.
 
Kwaheri whisk kama ndio inatepesha macho namna ile. Mimi nikajua mimi ndio nayaona peke yangu. Dingi yule kweli atakuwa na damu ya mchina maana si kwa kuinanga nchi yetu kila akibinua mdomo.
Tunaelekea kubaya sana. Siku hizi waimba mapambio wa mhutu ndiyo raia wema. Wenye mtizamo kinzani na jiwe ni maadui wa taifa.
 
Ona hata aibu kwa wanao kama unao
Jenerali Ulimwengu ana hasira ya kukosa soko la magazeti yake. Maana sasa hivi nani atanunua Raia mwema? Hakuna cha kumkosoa JPM.

Uchaguzi hapa Tanzania upo huru na wa haki, ndio maana unafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria,kila chama kinatakiwa kuweka mawakala kulinda kura zao. Kusema wakurugenzi waliamrishwa kutangaza wagombea wa CCM mtu kama Jenerali Ulimwengu kulishadidia ni kujidhalilisha.
 
Tutalialia hivi, tutasahau na mwaka 2025 tutaenda tena kwenye chaguzi kwa confidence na tambo kubwakubwa huku tukijua hakuna kilichobadilika kwenye mfumo mzima wa kuendesha chaguzi zetu
Natabiri 2025 yasipofanyoka marekebisho ya katiba waipendao ccm tu ndiyo watapiga kura.
 
JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.

Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.

May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
Nadhani ulimuona mzee Mwinyi alivyokua kama kondoo aliyenyeshewa mvua, imani ya dini ilimtoka huku akiwa na wagombea wa tatu toka familia moja huko Zanzibar! Zamu ijayo ni yake JK hayo mengine ni yenu nyie msiojua kuwa pesa ni haramu, si mmemuona mama mliyekuwa mnauita mcha Mungu alivyobadilika? Hata mkimpa kura zote Lissu CCM ndiyo itaunda serikali!
 
Back
Top Bottom