Sainya Jnr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 490
- 1,171
Daaaaah..
JF sihami [emoji3][emoji3][emoji3]
JF sihami [emoji3][emoji3][emoji3]
Unitekee eeIli nijue nakupatia wapi [emoji12][emoji12]
Comment ya kukata tamaa....Mimi sifaidiki na dhuluma...ni Mtanzania Kama ilivyo kwa Watanzania wengi ambao hawadanganyiki na ni wazalendo..Wewe wasema kwa vile uko kwenye madaraka au unanufaika na dhuluma! Ubarikiwe, heri wenye kufaidi kwa maumivu ya wenzao maana ufalme wa shetani ni wao!.
Katika nguzo za kiislam ipo na kuhiji makka.JK ninafaham your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM...
Hata angelaani mara kumi kumi kuna faida gani kama wananchi hawaoni umuhimu wa kupigania haki zao? Kuna kitu amabcho watanzania wengi hawajagundua. Viongozi na nchi nyingine zitajitokeza kuwatetea iwapo tu ninyi sisi tutaonyesha action!JK ninafaham your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM...
Asiridhie ilhali mwanae na mkewe wamepewa ubunge?JK ninafaham your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM..
Halafu yanakuja kwenye ma bar kulalamika eti oo tuliiba kura hatujalipwa na blah blah kibao.Hata angelaani mara kumi kumi kuna faida gani kama wananchi hawaoni umuhimu wa kupigania haki zao? Kuna kitu amabcho watanzania wengi hawajagundua. Viongozi na nchi nyingine zitajitokeza kuwatetea iwapo tu ninyi sisi tutaonyesha action! Hakuna kitu kibaya kama woga. Tungeweka woga pembeni na kujitokeza wote (naamini asilimia 80 ya watanzania hawampendi Jiwe) mbona tungeshangaa jinsi viongozi wengine wa CCM watakavyotuunga mkono!
LIST YA WALAMBA MIGUU NA WAPIGA ZUMARI ITAONGEZEKA ?JK ninafaham your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM...
exact description za Jiwe! Yes, you are right, nimekata tamaa maana niko utumwani kwa Jiwe. Huwa napata picja kama mtu wa zamani kidog mwenye uelewa... lkn post zako zinanipa mashaka. Sawa na Polepole, ukimsikiliza wakati wanjaa kwenye bunge la katiba, utaona kabisa kuwa kuna kitu hakipo sawa watu wa ccm, kama ndizo njaa, basi mtaingia nazo kaburini!huyu mshenzi, arrogant and tyrant
Teh teh teh 🤣🤣🤣...yaani walitapeliwa tena haa haaa 😃😃Kura ziliibiwa kiasi cha walioiba wengine wametapeliwa hela zao mpaka leo. Pole sana.
Jambo zuri kila mmoja wetu ataulizwa mbele ya Mungu. Kila ukifanyacho hata kidogo kama sisimizi kiwe kizuri au kibaya lazima utaulizwa tu.
Mwalimu wangu mmoja wa madrasa aliwahi niambia omba sana Mungu ukipewa vitu vitatu, elimu, madaraka na pesa na lia usiku kucha ukipewa vyote vitatu maana ni mtihani mzito kwako.