Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki



For most countries in Africa, it is not possible to distinguish democracies from non-democracies on the basis of elections and election outcomes.

Multi-party elections are not always free, fair, and democratic; dominant parties and dominant party systems are not necessarily undemocratic; large election victories are not by themselves proof of foul play.

Not all authoritarian regimes maintain their rule through overwhelming parliamentary or electoral majorities.
 
Wewe kwa akili zako unaamini Hussein Mwinyi kapata 76% huku Maalim akipata 19%?

Akili yako kwa kutumia deductive na inductive reasoning plus common sense inakuambia kuwa huo ni uhalisia?
 
Wewe kwa akili zako unaamini Hussein Mwinyi kapata 76% huku Maalim akipata 19%?

Akili yako kwa kutumia deductive na inductive reasoning plus common sense inakuambia kuwa huo ni uhalisia?
Taabu sana , soma vizurI na msidhani nyinyi wa kila siku humu mna monopoly ya political wisdom. Rudia Rudia kusoma baada ya hapo ndio uandike upya.
 
Ona unavyotoka nje ya mada. Anyway umechutama kama ulivyochutama kwenye wito wa maandamano. Inapendeza.

Nimekuignore maana huna hoja zaidi naona unatapika tu Makande yaliyochacha, na vitisho vya kipuuzi.
 
Taabu sana , soma vizurI na msidhani nyinyi wa kila siku humu mna monopoly ya political wisdom. Rudia Rudia kusoma baada ya hapo ndio uandike upya.
Kurudia kusoma visivyo na common sense haiwezi kuvifanya vimake sense!
Ujinga ukirudiwa kusomwa mara nyinginyingi hakuufanyi ujinga huo uwe jambo la maana
 
Huwezi ukasema uchaguzi wetu ulikuwa ni ushenzi...kusema hivyo ni kuzusha ...magazeti yalikuwa huru kutangaza facts na siyo uzushi...mtu anakuja anasema ameona mabegi ya kura na akiambiwa aonyeshe anasema amechoma Moto...huo ni uzushi...magazeti makini hayawezi kurusha uzushi wa Aina hiyo...watu wanafanya stage na kuchoma Moto kitu kinachoitwa kura fake..uchaguzi huu wa Tanzania ulifanyika kwa umakini mkubwa kuliko hata ule wa Marekani...Upinzani na hasa chadema wanazusha kuwa eti mawakala wao walitimuliwa vituoni...huu ni uongo kabisa...kulikuwa na waangalizi wa uchaguzi kwenye vituo kadhaa vya kupigia kura na hakuna mahali popote waliposema kuwa waliona mabegi ya kura fake au hata kushuhudia eti mawakala wa chadema wakiondolewa kwenye vituo vya kura..
 
Watu walipeleka Polisi ushahidi wa kura walizozikamata, Polisi wakawajibu kuwa hawahusiki na mambo ya uchaguzi (Jacob Boniface alipeleka mzigo wa kura Polisi wakakataa kufile kosa). Sasa kama Polisi nao waligoma kudeal na matatizo ya uchaguzi ulitaka watu wayapeleke wapi?-It seems system nzima ilishiriki kuhujumu uchaguzi huu kwa manufaa ya Mtu mmoja na genge lake (CCM).

Kuhusu waangalizi kuona kasoro za Uchaguzi, inaelekea wewe hujawasikiliza waangalizi wa Tanzania Election watch , wameelezea waziwazi kuhusu kura kukutwa kwenye masanduku kabla ya kura kupigwa

Lakini pamoja na hayo Waangalizi hawakwenda vituo vinavyofikia 100 nchi nzima wakati kulikuwa na vituo vya kura zaidi ya 80000 nchi nzima, zaidi ya vituo 70000, mawakala wa wapinzani hawakuruhusiwa, waliruhusiwa vituo visivyofika 20000. Kituo nilichopigia mimi Wakala wa Chadema hakuruhusiwa kuingia katakata, na tulikuwa naye nje yeye akijaribu kuingia anakataliwa, sisi tukiwa kwenye msitari kusubiri kupiga kura!

Kuhusu kukamatwa mabegi ya kura ni kweli zilikamatwa na video zipo, nyingine zilikamatwa mbele ya maaskari lakini ni jukumu lako tu kujiuliza hata baada ya maaskari kuzikamata shauri liliishia wapi!

Naona mpo kwenye denial lakini hakukuwa na uchaguzi pale!
 
hii ndiyo Demokrasia unapata unachostahili kukipata usichostahili kinaendelea kuwa ndoto mpaka muamshwe kutoka usingizini. miaka 5 maisha yanaendelea usijaribu kuzuia usichokiweza wanaume tunatumia logic na sio makelele huku mitandaoni njooni na strategic plan how to win election 2025 . Watanzania kila siku wanawaprove mpo in wrong sight lakini mnazidi kuwa marigid body . without flexibility in life you will die as broken bone from lower limbs.
 
Hivi haiwezekani tukawa tunatoa kandarasi kwa kampuni zitusaidie kusimamia uchaguzi?

Tume isaidie tu kuratibu maeneo,lakini mengine yote yapewe hizo kampuni.

Kama tunaweza kuwapa SGR, Nyerere dam..trilion kadhaa, huu uchaguzi wa Bilioni tu,wanaweza.
 

Nimeanza kufuatilia vyema uchaguzi wa vyama vingi muhula wa mwisho wa Mkapa hivyo najua ninachosema. Hakuna gazeti lililokuwa huru kuandika habari hasi hata kama zina ukweli wa kiasi gani. Hizo kura fake tumeziona kwa macho yetu, na ni bora zilichomwa maana bado zingeingizwa kwenye majumuisho ya kura. Vyombo vya dola vilikuwa sehemu ya huo wizi, ulitarajia wapewe ushahidi ili waufanyie nini? Hilo la kutolewa, au kucheleweshwa kwa mawakala tumeliona kwa macho yetu, na wengine walihojiwa kwenye vituo kadhaa vya televisheni. Hao waangalizi wengi wa uchaguzi tunajua walipewa vibali katika mazingira gani, hivyo hata kabla ya ripoti zao kutoka zilikuwa predictable. Unapoona 2/3 ya wapiga kura hawataki kujitokeza kupiga kura, ujue watu wameshaona upigaji kura ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 

Suala la kuibiwa kura halina mjadala, labda uje na Utetezi mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…