Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

Hana uzalendo wowote ndani yake.
Cheo cha ukuu wa wilaya alishindwa kuonyesha uzalendo wake hata kwenye eneo dogo tu la wilaya!!
NGOMA IKILIA SANA .......................
Ni ishu ya muda tu.
Mbona unamtafuta kwenye Angle ndogo hivyo?je uliwahi kuisikia G55?
 
Yeye ni muoga tangu awali. Kama hakuwa muoga kwa nini alibadili jina akiwa mwanafunzi, pale Tabora Boys. Ni muoga sana, na ndiyo maana awamu iliyopita alikuwa hasikiki utafikiri alikuwa kahama au kafa.
Awamu ipi hiyo?
Wakati wengi wameshika njia moja tu "kusifu" yeye alikua upande wa kuhoji .
Tena hakuishia kuhoji kwenye majukwaa alienda mbari Zaid kwakushilikiana na wengine walifungua kesi kwenye mahakama yaki za binadam Arusha.
 
Hili liulimwengu mavi mavi ni jitu ovyo na mtu mzima ovyooooooo tena!
Ni lilevi kupindukia kutwa lina shinda kwenye pombe 24/7
British Legion/men club Laibon st. Oyesterbay!
Kazi kuongea pumba tupu !
Dadadeki zake walahi [emoji2959]
 
Sukuma Gang mnapata shida sana yule "kiumbe mwaribifu" akisemwa acha asemwe; aliharibu, alionea, alibaka demokrasia, aikuwa katili mno!
 
Tukumbushane.

Wakati mijadala mingine ikiendelea kama kawa,

AGENDA kuu Kwa sasa ni KATIBA mpya.

RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Ameeeen.
 

Ile trend ya kutukana watu ndio upewe madaraka imeharibu vijana wengi. Leo vijana wengi wanafanya uchawa na wakitegemea kill mtu awe chawa. Sasa anapotokea mtu Kama Jenerali ulimwengu na kutoa misingi yake bila kutegemea kubebwa na mtu , vijana wanashangaa na kuona ni jambo la ajabu. Pole sana.
 
Huyu jamaa angekuwa nchi yake ya asili hata mwaka asingemaliza, ashukuru huku Kuna amani

Sema kwa Sasa. Mbona awamu ya tano watu walishughulikiwa Kama sio kupotezwa basi unalimwa risasi mchana kweupe. Watu wasiojulikana waliwashughulikia Hadi wasanii akina Roma.
 
Tatizo la wanyarwanda huwa ni kasumba ya kujiona kuwa na akili kuliko makabila yote ya Africa.

Ulimwengu anaponzwa na asili yake ya kule alikotokea.
 
Kama ikiwa kuna watu watano tu wazalendo waliobaki kwenye nchi basi Jenerali ni mmojawapo.
Duh!
Jenerali Ulimwengu "Mzalendo kati ya waTanzania watano" ambao wanaheshimika kwa kuwa na sifa hiyo?
Na hao wengine wanne sijui watakuwa akina nani katika mizani yako!

Kafanya kitu gani mkuu hadi kuvishwa heshima ya namna ile!

Hivi hili neno "uzalendo" mbona linachanganya hivi, kila mtu na tafsiri na vigezo vyake anavyovitaka yeye?

Mkuu 'Yoda', hebu tupe tafsiri halisi ya hili neno kwa jinsi ulielewavyo wewe ili nasi tuweze kumpima huyu Ulimwengu kaitka mizani uliyotumia wewe.

Wakati mwingine tusifanye kila jambo kuwa la mzaha mzaha kivile. Hapa naona umeamua kufanya utani ndani ya JF.
 
Ulimwengu kwanza sio mtanzania hana uchungu wowote na nchi hii, pili ana asili ya gaidi, tatu mahojiano mengi anafanya hali kanywa mapombe hivyo ni jitu jingajinga la kupuuzwa tu
 
Ulichokiandika kinaitwa 'blanket' au 'wholesale judgement'. Nilitegemea ueleze huo ustawi wa nchi ni nini au ukoje na yeye anauhatarisha kwa namna gani. Otherwise, sijaona point yoyote ulitoweka hapa.
 
Tumekusikia bi tulia mbunge wa mbeya mjini
 
Hii kitu staha mnayoliliaga ikoje? Yaan mtu akitaka kukukosoa akosoe kwa kuremba maneno ama? Ili iweje? Kosolewa vyvyote vile ikuume na ubadilike!
 
Iwee, yule ana vinasaba vya nshomile, hiyo mbona kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…