johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwandishi wa habari mbobezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take:
Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas (mashemeji)