Hisia kama hizi ni matokeo ya Watanzania kuendekeza habari vijiweni, kuna ubaya gani mtu kushauliwa. Raisi ni taasisi kuna baraza la mawaziri ambalo yeye ni mwenyeketi. Madawa ya kulevya, ufisadi, na shida zote zinatemea sisi wananchi kupitia shule zetu, nyumba zetu za ibada na taasisi zetu kujitoa sio kutwika zigo mtu mmoja over watu million kazaaAnashauriwa na Mstaafu Mmoja aliyeharibu Misingi ya Kimaadili, Kijamii na Kiuchumi ya nchi hii huku Ufisadi na Dawa za Kulenya zikishamiri ndiyo leo mnataka Rais Samia afanikiwe?
Tunarudi kule kwa 2005 hadi 2015 na ni suala la muda tu ila dalili zimeshaanza Kuonekana kwa wenye Akili na Mitazamo ya mbali.