Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Tuambie wapi pesa imechotwa. .. !?
Nami nikwambie enzi za shujaa wenu pesa ilivyochotwa nakudhibitishwa na CAG 1.5trilion umewahi kusikia..
Au unataka uniletee stori za kijiweni hapo uswaz kwako
Kwani hio 1.5T uliiona wakichukua na je ilichukuliwa baada ya muda gani! Tulia miaka mitano ya bi. Mkora iishe uone kazi
 
Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.

Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?

My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
Anashauriwa na Mstaafu Mmoja aliyeharibu Misingi ya Kimaadili, Kijamii na Kiuchumi ya nchi hii huku Ufisadi na Dawa za Kulenya zikishamiri ndiyo leo mnataka Rais Samia afanikiwe?

Tunarudi kule kwa 2005 hadi 2015 na ni suala la muda tu ila dalili zimeshaanza Kuonekana kwa wenye Akili na Mitazamo ya mbali.
 
Aliiweza kwa lipi toa data ueleweke coz duniani kote walipo binadamu huwa kuna diversities kwenye leadership transition. Mwamba wa chato alifanya watu kuwa submissive kwa baya au jema ndio unataka mama awe hivyo?
Ule ndio ulikuwa mpango kazi wake! Huyu bibi Mkora atuoneshe mpango kazi wake au yeye dira ya kazi ni kupanda bombadia na kushinda nchi jirani kadri awezavyo!?
 
Katiba kwanza.

Bila katiba Trump angewazinguwa wa America
Hio katiba ni sawa ili mkumbuke huyo mutakaemuingiza hio katika anaweza akaigeuza on his favour sasa sijui mtafanyaje maana jeshi liko submissive kwa yeyote aliyeko madarakani hata kama kilaza😂
 
Awaangalie na nyie watu wa praise and worship. Kazi yenu ni kupiga makofi na kusifia tu hata kwenye mambo ya kijinga
Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.

Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?

My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
 
Kwani hio 1.5T uliiona wakichukua na je ilichukuliwa baada ya muda gani! Tulia miaka mitano ya bi. Mkora iishe uone kazi
Hiyo 1.5trilion ilichukuliwa na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali amesema..
Sasa ww nionyeshe za sasahv unazosema zinachotwa...
SHUJAA ALIKUWA FISADI HAIJAWAHI TOKEA YANGU TZ IPATE UHURU
 
Hiyo 1.5trilion ilichukuliwa na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali amesema..
Sasa ww nionyeshe za sasahv unazosema zinachotwa...
SHUJAA ALIKUWA FISADI HAIJAWAHI TOKEA YANGU TZ IPATE UHURU
Kwani huyu wa sasa amemaliza hata term 1! Subiria ufisadi wa kutisha
 
Back
Top Bottom