Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Like The Late JPM!Hana vision huyo mama! We need visionary leaders
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Like The Late JPM!Hana vision huyo mama! We need visionary leaders
Uhuru gani bwashee?Uhuru kampambania yeye pamoja na figisufigisu za wakoloni kama ilivyo ccm ya leo(MAKABURU WEUSI),kajenga umoja na mshikamano wa Watanzania,leo hii nchi nzima tunaongea lugha moja Kiswahili kwa sababu ya Nyerere,kajenga mashule kibao,kasababisha nchi nyingi kusini mwa Afrika kupata uhuru na mengine mengi,huyo wa Chato kafanya nini kama siyo kulazimisha kuua upinzani Tanzania?
Ukitaka kujuwa "ugumu wa nchi hii" haikulazimu kwenda mbali na ulipo.Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
Naungana na wewe. Mimi Sina hakika kama utamuuliza mama leo hii anaiona Tanzania ikiwa na hali gani baada ya miaka mitano kiuchumi, kijamii, kiutamaduni kisiasa n.k. anakueleza. Hayati Magufuli alituambia alikuwa anaiona Tanzania isiyo na vyama vya upinzani na juhudi zake za kufanikisha hilo tumezishujudia. Alitaka Tanzania yenye maflyover tumeziona juhudi.Hana vision huyo mama! We need visionary leaders
Kwani hao washauri wamemlisha limbwata la kitimoto lisilotibika?Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
Kwahiyo ule wembe unamhusu au tubadilishe strategy?Hana vision huyo mama! We need visionary leaders
Amefeli big timeNaungana na wewe. Mimi Sina hakika kama utamuuliza mama leo hii anaiona Tanzania ikiwa na hali gani baada ya miaka mitano kiuchumi, kijamii, kiutamaduni kisiasa n.k. anakueleza. Hayati Magufuli alituambia alikuwa anaiona Tanzania isiyo na vyama vya upinzani na juhudi zake za kufanikisha hilo tumezishujudia. Alitaka Tanzania yenye maflyover tumeziona juhudi.
Kwa Mama utekelezaji wa mambo mengi aliyoahidi katika hotuba yake bungeni unasuasua. Aliposema anataka kuimarisha demokrasia nilidhani ni pamoja na watu kujieleza na kushiriki shughuli za kisiasa. Yanayotendeka yanapingana na hilo. Alisema anataka kujenga uchumi lakini badala yake anaongeza kodi ambazo zina athari ya kupunguza mzunguko wa pesa na hivyo kudumaza uchumi. Kusema.kweli mimi ni mmoja kati ya watu wasiojua Mama anatupaleka wapi?
Hata mimi kila nikiangalia Ufipa naona jinsi nchi hii ilivyo ngumu!Ukitaka kujuwa "ugumu wa nchi hii" haikulazimu kwenda mbali na ulipo.
Mimi ninakuangalia mtu kama wewe na michango yako mingi sana humu ndani ya JF, kila siku kujuwa jinsi gani "nchi hii ilivyo ngumu!" Kuna kundi kubwa la watu wa aina yako ndani ya nchi hii wanaofanya nchi iwe ngumu.
Usinilaumu kwamba ninakushambulia, naandika tu ninayoona kuwa ni kweli.
Huyu alikuwa tatizo mara mbili.
Hii nchi nyepesi sana. Hata mtoto wa darasa la 4 anaweza akawekwa tu hapo kama kiongozi mkuu lakini wakawa wanaongoza wengine,na wananchi wakatulia tu. Ona hayo matamko ya mawaziri. Lakini bado tu ataendelea kuwa kwenye kazi yake. Kwa nchi zingine matamko kwanza ya kigeugeu. Sijui mitambo imetesitiwa kwangu. Huyu ilikuwa awe ameachia ngazi. Shida iko kwa wananchi tumelala sana. Huku tukichezewa kila aina ya ngoma,tunashangilia tuMwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
"Ufipa" ndio kitu gani?Hata mimi kila nikiangalia Ufipa naona jinsi nchi hii ilivyo ngumu!
Ugumu wake ni kuwa watu ni wanafiki sana, watakuchochea uharibu kwa manufaa yao.
Jenerali Twaha Ulimwengu ni zaidi ya mwanahabari kwa taarifa dada........This is bongo .....nchi ambayo kila mtu ni mwandishi wa habar...
@Mr Devil ,sio "atakiwi", ni "hatakiwi".Watu wana mfanya kama ni innocent sana atakiwi kusemwa kumbe ni bure kabsa
"kutozawa tuzo" maana yake ni nini!!??Kiboko ni Marehenu JPM baaasi wengine wanacheza tu. Ni siku hizi tu, tunajifanya wajanja. Kila mtu utawasikia JPM akikusikia, utakoma. Leo hii tungesia mashirika yote ya Umma wanalipa gawio. Badala ya wananchi kutozwa Tuzo kwenye muamala yao
Hiyo senteni imeonyesha kuwa kuna "kiongozi mwingine alikufa mwezi wa tatu..."!!!????Jamani mwenzenu nilikuwa sipo Tanzania, kumbe kuna kiongozi mwingine alikufa mwezi wa tatu, je ni nani huyo
Huyo shujaa wa Africa aliifanyia nini hiyo Africa?Hii nchi aliiweza shujaa wa Afrika pekee, hawa wengine wanajikosha tu.