Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Wewe umeifanyia nini nchi yako kwa nafasi yako, the president is not there to make miracles. Toa vision yako rais sio malaika ni mwanadam anajifunza
Mtanzania mwepesi kulaumu lakini mwambie aje na wazo jipya lenye kujenga nchi ndio utakapojikuta unachekea chooni.
 
Kuna taarifa kuwa amepqata 'ajali' Eee Mola umpe nafuu Generali Ulimwengu na umuepushe na shari zote.
 
Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.

Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?

My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
hii nchi ngumu sana
 
Toka wamemshauri ishu ya Tozo na kuongeza gharama kwenye mafuta bila hata yeye mwenyewe kufanya tathmini kweli ameferi mno mno...na pale sioni mtu wa kuitoa Nchi ilikozama tutaenda hivi hivi...
 
Magufuli alikuwa na vision mkasema ni mkali sana na mbishi.

Kiongozi uliyenaye kichwani sio lazima afanane na yule halisi aliyepo mtaani.
Sijawahi kumkubali huyu mama wala sijawahi kumchukia Magufuli! He was a hero indeed hii sampuli ya Magu itachukua muda mrefu sana kupatikana yani wacha tutopee kwenye giza la umasikini kwa sasa maana ni tozo mpaka za luku ila umeme unakatika mara 62 kwa siku!
 
DEEB UNACHEKAKWELI ?JENERALI NI MCHURO.
FITINA ASO MKWKELI,MOYONI ANA KIHORO,
ANATAMANI TUFELI,AU WENYE MIGOGORO,
MZAWA NA MKIMBIZI,YUPI AIJUA NCHI ?
 
Exactly, Jenerali yuko overrated sana. Anachojua ni kuandika riwaya tu za Kiingereza na Kiswahili.

Muache autumie uhuru wa mawazo ambao Rais SSH ameufungulia baada ya Mwendazake kuubinya kwa miaka 5
Kingereza ni lugha tu. Bibi mzaa Baba alikifahamu kile cha kwenye biblia. Na alisoma, alihishia la Nne tu. Ulimwengu J amesoma lugha alizaliwa na lugha
 
Mlitaka awaache wanae Maskini kama ilivyo kwa Nyerere ambaye mnamcheka kila uchao😅😅😅 pumbavu zenyu!
Fantastic point but remember when you selected to the President,you are the president of all and not a certain group.Rais wa kuwabagua watu kwa misingi ya chama,kabila,ukanda,huyo hafai.
 
Exactly, Jenerali yuko overrated sana. Anachojua ni kuandika riwaya tu za Kiingereza na Kiswahili.

Muache autumie uhuru wa mawazo ambao Rais SSH ameufungulia baada ya Mwendazake kuubinya kwa miaka 5
Sungura alipokosa zabibu alisema sizitaki mbichi hizi.

Sasa wewe mbona hata hizo riwaya zimekushinda? Unadhani unaweza kukurupuka tu na kuandika hizo riwaya?

Vijana wa JF kwa kudharau watu hamujambo wakati nyinyi hata robo ya hivyo wanavyofanya munaowadharau hamuwafikii.
 
Yule ndio hamna kitu zaidi kupachikwa unyonge mkajiona anawapenda
Jamaa alitisha sana kimaendeleo kati ya marais nchi hiii,wahuni wanachekelea kwa kifo chake maana kibano hakikuwa cha kawaida leo wamerudi na nguvu zote
hakuna kinachoendelea tumerudi tulikokuwa.
 
Back
Top Bottom