Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 852
- 1,081
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MariaspaceHii ni ya wakati gani?
Namjua mpaka mwanae ambaye degree ya kwanza kasoma vyuo saba na hajagraduatemleta mada humjui Jenerali Ulimwengu,
fanya hima urudi maktaba ukajisomee.
Nadhani ulimi wa general uliteleza. Hayo ndio matokea ya kuachia jazba iongoze akili.Huyu jamaa,kufilisika kwake ndio kunamsumbua sana,ni kwa vipi unaweza kusema kuwa samia haijui nchi hii,amekuwa waziri kwa serikali ya zanzibar,amekuwa waziri wa hamhuri ya muungano,amekuwa makamu wa rais wa nchi,amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya ccm miaka 19,ameitembelea nchi hii kika sehemu,leo henerali anasema eti samia haijui nchi?
Yeye ana historia ipi ya kumshinda samia?
Kuwa mwandishi wa habari,kuwa msaidizi wa samora machel,kuwa kiongozi wa umoja wa vihana afrika?
Nonsense
Ni vema ajitokeze hapa jukwaa la jamii forum atoe ufafanuzi ambao hawajamwelewa wamwelewe.Huyu Mzee anaweza pewa kesi isiyo na dhamana.
Mkuu ni Lugha gani umeandika hii?Huyu jamaa,kufilisika kwake ndio kunamsumbua sana,ni kwa vipi unaweza kusema kuwa samia haijui nchi hii,amekuwa waziri kwa serikali ya zanzibar,amekuwa waziri wa hamhuri ya muungano,amekuwa makamu wa rais wa nchi,amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya ccm miaka 19,ameitembelea nchi hii kika sehemu,leo henerali anasema eti samia haijui nchi?
Yeye ana historia ipi ya kumshinda samia?
Kuwa mwandishi wa habari,kuwa msaidizi wa samora machel,kuwa kiongozi wa umoja wa vihana afrika?
Nonsense
Humu wengi vilaza kuelewa hoja ya ulimwengu ni ngumu sana.Teteeni familia zenu na maisha yenu. Mnajikomba kwa Samia Samia, vitu vingine ata havina maana. Mzee kasema anamuomba aielewe nchi hii nchi ni ngum. Sasa hapo katukana nn au kavunja sheria zipi?
Kuna watu walizaliwa kupinga tu kila jambo la wengine.Vipi Mzee Jenerali, unataka uteuliwe kama mshauri?
Maana kila utawala unaoingia madarakani ni shida kwako.
Hii clip ina miezi mingi sio ya leo au jana, wala hajapata shida yeyoteHuyu Mzee anaweza pewa kesi isiyo na dhamana.
Njaa itawaua mpaka mnapofuka macho hamtaki hata kuona ukweli? Samia haijui Tanganyika pengine huko Zenj; muulize amewahi kufika Busokelo au anajua hiyo sehemu iko wapi?Huyu jamaa,kufilisika kwake ndio kunamsumbua sana,ni kwa vipi unaweza kusema kuwa samia haijui nchi hii,amekuwa waziri kwa serikali ya zanzibar,amekuwa waziri wa hamhuri ya muungano,amekuwa makamu wa rais wa nchi,amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya ccm miaka 19,ameitembelea nchi hii kika sehemu,leo henerali anasema eti samia haijui nchi?
Yeye ana historia ipi ya kumshinda samia?
Kuwa mwandishi wa habari,kuwa msaidizi wa samora machel,kuwa kiongozi wa umoja wa vihana afrika?
Nonsense
Tatizo lenu mmezoea kuwalamba matako viongozi,mkiambiwa ukweli mnahisi ni dharau,tutachelewa sana kupata maendeleo kwa kuwa na watu wenye mawazo mfuu kama wewe,kwani ukiwa rais au waziri unakuwa umekamilika hutakiwi kukosolewa?hii ni dharau kwa mamlaka, kuna kipindi kuna vitu tunashabikia kwa sababu tu labda ya ushabiki....lakini kiuhalisia tunampa kichwa Ulimwengu ambaye sijui yeye ameifanyia nini hii nchi mpaka tumsikilize...
Kuna wakati watanzania tuwe makini na wajuaji ambao hujiona wao ni bora kuliko wenzao na kila kizuri kilicho cha wenzao kilistahili kuwa chao.... huyu kwa sasa niwakumpuuza tu yeye ndio genius wengine wote vilaza...hahahaha
Amekuja na mhemko msameheni bure,hao ndio mataga hawataki kuambiwa ukweliMkuu ni Lugha gani umeandika hii?
vihana,hamhuri nk?
Ni chura mdogo/mchanga ambae baada ya kuanguliwa, bado hajakatika mkia. Kwa kimombo anaitwa 'tadpole'MGYA ndio nini?
Weka japo ka ushahidi basi, video/picha/document. Kama wapata ugumu kupangua hoja zake ingefaa kuachana na porojo.Huyu na kundi lake wanaishi kwa hela za mabeberu kwa kuendesha campeni za aina hii za kuwagawa watu na kuwakeep bussy . Hii ni kwa sababu ya kuwafanya mabeberu waweze kuendelea kuchota uchumi kirahisi
Weka japo ka ushahidi basi, video/picha/document. Kama wapata ugumu kupangua hoja zake ingefaa kuachana na porojo.Huyu na kundi lake wanaishi kwa hela za mabeberu kwa kuendesha campeni za aina hii za kuwagawa watu na kuwakeep bussy . Hii ni kwa sababu ya kuwafanya mabeberu waweze kuendelea kuchota uchumi kirahisi
Tatizo lenu mmezoea kuwalamba matako viongozi,mkiambiwa ukweli mnahisi ni dharau,tutachelewa sana kupata maendeleo kwa kuwa na watu wenye mawazo mfuu kama wewe,kwani ukiwa rais au waziri unakuwa umekamilika hutakiwi kukosolewa?