WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Kwani umekufaaa au unalala njaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hamnazoVisionary Leader departed on 26.03.2021
Hivi huko shuleni ulienda somea ujinga!?Jamaa alitisha sana kimaendeleo kati ya marais nchi hiii,wahuni wanachekelea kwa kifo chake maana kibano hakikuwa cha kawaida leo wamerudi na nguvu zote
hakuna kinachoendelea tumerudi tulikokuwa.
Ugumu upo katika kazi ya uraisi kwa yeyote atakayechaguliwa wakati wowote. Ila, ugumu wa kazi ya Samia Suluhu unachangiwa na:Mwandishi wa habari mbobezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
JinsiaUzi tayari? Hebu sasa tueleze namna ambavyo SSH anamzidi Jenerali au namna wako sawa.
Lakini si ameongea ukweli? au sijaelewa? Nimeuliza tuBwana Jenerali kamuita Samia Suluhu Hassan Mgya akimaanisha haijui nchi hii -Tanzania
sioni kwa namna yoyote anavyoweza kumzidi Samia kuhusu kuijua nchi hii
Huyu jamaa,kufilisika kwake ndio kunamsumbua sana,ni kwa vipi unaweza kusema kuwa samia haijui nchi hii,amekuwa waziri kwa serikali ya zanzibar,amekuwa waziri wa hamhuri ya muungano,amekuwa makamu wa rais wa nchi,amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya ccm miaka 19,ameitembelea nchi hii kika sehemu,leo henerali anasema eti samia haijui nchi?Bwana Jenerali kamuita Samia Suluhu Hassan Mgya akimaanisha haijui nchi hii -Tanzania
sioni kwa namna yoyote anavyoweza kumzidi Samia kuhusu kuijua nchi hii
Ukweli upi?Lakini si ameongea ukweli? au sijaelewa? Nimeuliza tu
kwa uongo upi?Ukweli upi?
Bwana Jenerali kamuita Samia Suluhu Hassan Mgya akimaanisha haijui nchi hii -Tanzania
sioni kwa namna yoyote anavyoweza kumzidi Samia kuhusu kuijua nchi hii