Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Vipi Mzee Jenerali, unataka uteuliwe kama mshauri?

Maana kila utawala unaoingia madarakani ni shida kwako.
Kama havunji sheria mwacheni,Kama ambavyo mmewaacha wale waliojipa kazi ya kumsifia kila mtawala.
 
That’s according to his points of view, he could be wrong or right or even both but who cares anyway. What I’m typically sure about is that both are politicians and my instincts tells me to fack em all.. Politicians pon TV trying to gather mass attention with big pretty smile, let them know nothing is so funny from our end.
 
Bwana Jenerali kamuita Samia Suluhu Hassan Mgya akimaanisha haijui nchi hii -Tanzania
sioni kwa namna yoyote anavyoweza kumzidi Samia kuhusu kuijua nchi hii

Ni mlevi pekee na mtu aliye undergoe frustration ndiye anaweza kuzungumza kirahisi eti Rais Samia haijui nchi!
 
Bwana Jenerali kamuita Samia Suluhu Hassan Mgya akimaanisha haijui nchi hii -Tanzania
sioni kwa namna yoyote anavyoweza kumzidi Samia kuhusu kuijua nchi hii

Huyu na kundi lake wanaishi kwa hela za mabeberu kwa kuendesha campeni za aina hii za kuwagawa watu na kuwakeep bussy . Hii ni kwa sababu ya kuwafanya mabeberu waweze kuendelea kuchota uchumi kirahisi
 
Okay kumbe ni dalali wa wenye pesa!.
 
Bwana Jenerali kamuita Samia Suluhu Hassan Mgya akimaanisha haijui nchi hii -Tanzania
sioni kwa namna yoyote anavyoweza kumzidi Samia kuhusu kuijua nchi hii

Mengine unaacha tu… atatulia

Nobody speaks forever
 
hii ni dharau kwa mamlaka, kuna kipindi kuna vitu tunashabikia kwa sababu tu labda ya ushabiki....lakini kiuhalisia tunampa kichwa Ulimwengu ambaye sijui yeye ameifanyia nini hii nchi mpaka tumsikilize...

Kuna wakati watanzania tuwe makini na wajuaji ambao hujiona wao ni bora kuliko wenzao na kila kizuri kilicho cha wenzao kilistahili kuwa chao.... huyu kwa sasa niwakumpuuza tu yeye ndio genius wengine wote vilaza...hahahaha
 
Uliacha kutaka kumfananisha jenerali na baba ako mzazi itakusumbua Sana muondoe kwenye levohizo ili umtambue vizuri
 
Huyu jamaa,kufilisika kwake ndio kunamsumbua sana,ni kwa vipi unaweza kusema kuwa samia haijui nchi hii,amekuwa waziri kwa serikali ya zanzibar,amekuwa waziri wa hamhuri ya muungano,amekuwa makamu wa rais wa nchi,amekuwa mjumbe wa kamati kuu ya ccm miaka 19,ameitembelea nchi hii kika sehemu,leo henerali anasema eti samia haijui nchi?
Yeye ana historia ipi ya kumshinda samia?
Kuwa mwandishi wa habari,kuwa msaidizi wa samora machel,kuwa kiongozi wa umoja wa vihana afrika?
Nonsense
Hili linahitaji discussion kweli???

Hata huyo katibu mkuu kiongozi tu kateuliwa bila kumjua hata jina,ila tu alisema mwenyewe alimuona siku Moja tu!

Wangap anateua hata hawajui walipotoka,Hangaya yeye alikua ni yupoyupo tu na wala hakuijua nchi ndo Mana Sasa harufu ya upigaji kila kona
 
Bwana Jenerali kamuita Samia Suluhu Hassan Mgya akimaanisha haijui nchi hii -Tanzania
sioni kwa namna yoyote anavyoweza kumzidi Samia kuhusu kuijua nchi hii

Hii ni ya wakati gani?
 
Teteeni familia zenu na maisha yenu. Mnajikomba kwa Samia Samia, vitu vingine ata havina maana. Mzee kasema anamuomba aielewe nchi hii nchi ni ngum. Sasa hapo katukana nn au kavunja sheria zipi?

Haya ya umeme na maji yanatulazimisha kupambania nafsi😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom