Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Jenerali kwa sasa anapiga kwenye mshono tu, hakwepeshi mambo.
Wiki iliyopita alipiga kwenye mshono wa bunge, spika Ndugai akachanganyikiwa na kuanza kupanic tu.

Sasa jana Jenerali amepiga kwenye mshono wa dikteta wa kike, safari hii lazima pachimbike.
Anapiga?

20211104_165647.jpg
 
Namjua mpaka mwanae ambaye degree ya kwanza kasoma vyuo saba na hajagraduate
Mwanae sio yeye Jenerali. I like his guts. Hajawahi kubadilika. Toka enzi za Mkapa anaita spead kwa jina lake. Labda anasababu zake za msingi maana haogopi mtu hata siku moja
 
Mwanae sio yeye Jenerali. I like his guts. Hajawahi kubadilika. Toka enzi za Mkapa anaita spead kwa jina lake. Labda anasababu zake za msingi maana haogopi mtu hata siku moja
Angekuwa mlezi mzuri mwanae asingekuwa hivyo. Hata hivyo nikubaliane na wewe kwamba Jenerali ni Jenelali- mbali na tofauti kabisa na mwanaye. Kwa misingi hiyo mbona yeye anataka Samia na kila mtu awe kama anavyotaka yeye?
 
Mwandishi wa habari mbobezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.

Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?

My take:

Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas (mashemeji)
Mfano wako nimeuelewa sana. Yaani watu wanataka Ushemeji wao uwe suala la kitaifa.?
 
Hayo maoni yake yanaweza kumuweka sehemu mbaya.
NYERERE na MANDELA angesema hivyo leo tungekuwa tunawaosha wazungu makalio.
WEWE bado una roho ya fisi, woga uliopitiliza.

Watu kama nyie, kila kitu mnashangilia hata kama ukibanwa kende na kolea unashangilia tu.
 
Usingekuwa muoga usingetumia jina la 'Jaji Mfawidhi' hapa Jamii Forum.
 
Tuambie wapi pesa imechotwa. .. !?
Nami nikwambie enzi za shujaa wenu pesa ilivyochotwa nakudhibitishwa na CAG 1.5trilion umewahi kusikia..
Au unataka uniletee stori za kijiweni hapo uswaz kwako
Twambie wew alichota akapeleka wapi?
Au uhalo tu,
Mama yako wanampiga pesa huko juu na mataani hali ni mbaya kulioko miaka yote lakini mmekaa kimya mnasifia tu,
Mwambieni ahadi anazotoa zikamilike isiwe maneno tu.
 
Sibishani na viazi
 
08 December 2021

JENERALI ULIMWENGU : HAKUNA MTAWALA ANAYEWEZA KUNIZUIA MIMI KUFIKIRI

WaTanzania lazima wawe na mawazo mapya kila siku ili kuboresha hali zote za kiuchumi, kijamii na kisiasa ....
 
20 February 2019

kongamano la "Wenye Nchi ni wananchi' kuhusu u-Anaharakati

Mwandishi mkongwe, Jenerali Ulimwengu amesema kuogopa kufa kwa sababu ya kutetea haki ni ujinga na kila Mtanzania atakufa bila kujali sababu akibainisha kuwa ni suala la muda tu. Ametoa kauli hiyo Jumatano ya Februari 20, 2019 katika kongamano la "Wenye Nchi ni wananchi' lililoandaliwa na Jukwaa la Change Tanzania.
 
04 January 2022

KWA HASIRA: RAIS SAMIA AMJIBU SPIKA NDUGAI KISOMI - "UNA STRESS za 2025, KELELE HAZINISHUGHULISHI"

"Waliovaa sare za kijani ndiyo wenye matatizo na mimi wala siyo wapinzani, maana wapinzani kukisha tekeleza yale waliyoyaona wanakuwa wamemalizana nawe katika jambo waliloliona lakini hawa wenzetu wavaa sare za kijani huwa jambo lao haliishi" , asema Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameyaweka hayo bayana Leo Jumanne Januari 04, 2022 wakati akipokea Taarifa ya Utekelezaji wa Matumizi ya Fedha za Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19.
 
Mwandishi wa habari mbobezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.

Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?

My take:

Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas (mashemeji)

Bila shaka wakati Jenerali ananena haya Hangaya alisonya

Akaenda zake kupaka wanja na lipshine
 
Leo ndo nimeamini kuwa hii inchi ngumu.
Hili la JObu naona yataibuka Mengi
 
Back
Top Bottom