Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Hii nchi ni ngumu na Mama Samia ni mwepesi sana. Possibility to fail is more than 80%.
Yule mama tulipigwa.
kwa hiyo apewe nani sasa bashiru au makonda,watanzania kichwani ni 0%,tunafikiri nchi ni rais nchi ni KATIBA sio rais mtaangaika sana mwishow mtaweka na manyani kabisa
 
Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.

Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?

My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas
JENERALI UMEFELI,TENA DIVISHENI ZERO
FITINA NA MAKEJELI,SIASA ZAKO ZA KERO
MKAPA ALIKUDILI,UKAWA KAMA NGUCHIRO,
MZAWA NA MKIMBIZI,YUPI AIJUA NCHI ?
 
Tuambie wapi pesa imechotwa. .. !?
Nami nikwambie enzi za shujaa wenu pesa ilivyochotwa nakudhibitishwa na CAG 1.5trilion umewahi kusikia..
Au unataka uniletee stori za kijiweni hapo uswaz kwako
We acha upuuzi. Hiyo 1.5T si bunge lilithibisha haikupigwa popote. Na yule CAG wenu tuliona chuki zake za wazi baada ya jamaa kufa, ulitegemea angesema nni kama mtu alijawa na chuki.Ujinga wako wa kutoelewa mambo usikufanye upotoshe watu.
 
Ni kweli nchi hii ni ngumu. Jenerali alipewa ukuu wa wilaya ukamshinda, akabwaga manyanga na kurudi kwenye upigaji porojo. Kupiga porojo kwenye vyombo vya habari siyo sawa na kuongoza kwenye field.
Exactly, Jenerali yuko overrated sana. Anachojua ni kuandika riwaya tu za Kiingereza na Kiswahili.

Muache autumie uhuru wa mawazo ambao Rais SSH ameufungulia baada ya Mwendazake kuubinya kwa miaka 5
 
Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.

Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?

My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
sio kweli, aende nchi za jirani ndio aje kuwandika utumbo
 
Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.

Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?

My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
Mh. Ulimwengu yuko sahihi kabisa! A very qualified Army Officer aliingia kutawala nchi akiwa ana nia njema sana lakini hata yeye alinyoosha mikono!
Mungu aende pamoja na Mama, kwa kishindo kikuu kama alivyowahi kwenda na watu wanne waliokuwa na njaa, waliosababisha majeshi ya nchi nzima ya adui kuikimbia nchi na kuacha chakula, wao wakala chakula hicho wakashiba wakarudi na kuwaitia na wenzao chakula
 
Hiyo senteni imeonyesha kuwa kuna "kiongozi mwingine alikufa mwezi wa tatu..."!!!????
Inawezekana ukawa hujui kiingereza ndio maana unashangaa, Depart inamaanisha kuondoka/kufa, hivyo sentensi hii "Visionary Leader departed on 26.03.2021" inaonyesha kuna kiongozi alikufa/aliondoka tarehe hiyo
 
Huu ni ukweli maana hii nchi ina watu walalamishi,wanaolaumu ,wavivu,wapenda kitonga na wambea na wapika majungu ndio maana ukiwachekea wanakupoteza.
 
Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.

Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?

My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
Mtu unajijua wewe ni mfupi huwezi kuanika nguo kwenye kwamba, hivyo unatabia ya kuomba jirani akusaidie , sasa umepata nafasi ya kuweka mtu akusaidie , unamuweka mfupi mwenzio badala ya mrefu. Hivyo tatizo litaendelea
 
Mwandishi wa habari mbibezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.

Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?

My take. Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas ( mashemeji)
Naona serikali yako ya kigaidi imemtengenezea Jenerali Ulimwengu ajali ya gari
 
Back
Top Bottom