johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hana vision huyo mama! We need visionary leaders⌚💯 hajui anafanya nn atapata anguko la karne.
Majibu ya SHH tushayajua, ajiandae kurudia kidato[emoji355][emoji817] hajui anafanya nn atapata anguko la karne.
Visionary Leader departed on 26.03.2021Hana vision huyo mama! We need visionary leaders
Tulipigwa kidogo?Hii nchi ni ngumu na Mama Samia ni mwepesi sana. Possibility to fail is more than 80%.
Yule mama tulipigwa.
Yule ndio hamna kitu zaidi kupachikwa unyonge mkajiona anawapendaVisionary Leader departed on 26.03.2021
Sio katibaHana vision huyo mama! We need visionary leaders
Katiba pia ni muhimu ila kiongozi asiye na maono hata mkimpa katiba mpya bado atazingua tuSio katiba
Ngoja tuone miaka mitano hata kama lami ya mtaani kwenu itajengwa! Yani nchi imerudi kuwa shamba la bibi in full na sahizi watu watajichotea hela mpaka sio vizuri yani😂Yule ndio hamna kitu zaidi kupachikwa unyonge mkajiona anawapenda
Hakuna maono bila katiba mkuu, mana maono yamtu mmoja yalikuwa yana maana miaka 70 iliyopitaKatiba pia ni muhimu ila kiongozi asiye na maono hata mkimpa katiba mpya bado atazingua tu
Na hio katiba itakuwa ni ya kufukuza maraisi kila uchwao ama sio? Huyu mpole sana hatumtaki...,mna cast vote atoke!!! Huyu mkali sanaaa mna cast vote atoke madarakani!?Hakuna maono bila katiba mkuu, mana maono yamtu mmoja yalikuwa yana maana miaka 70 iliyopita
Ukija namaono yako binafsi zama hizi na katiba yetu hii utaua kila mtu na pengine kabla hujaaza kuua utakufa wewe
Mwarobaini wayote new katiba needed
Visionary leader or silent killer + egoVisionary Leader departed on 26.03.2021
Tuambie wapi pesa imechotwa. .. !?Ngoja tuone miaka mitano hata kama lami ya mtaani kwenu itajengwa! Yani nchi imerudi kuwa shamba la bibi in full na sahizi watu watajichotea hela mpaka sio vizuri yani😂
Subirieni kusikia matrilion ya tozo wamegawana wahuni wachache