Anapiga?Jenerali kwa sasa anapiga kwenye mshono tu, hakwepeshi mambo.
Wiki iliyopita alipiga kwenye mshono wa bunge, spika Ndugai akachanganyikiwa na kuanza kupanic tu.
Sasa jana Jenerali amepiga kwenye mshono wa dikteta wa kike, safari hii lazima pachimbike.
Mwanae sio yeye Jenerali. I like his guts. Hajawahi kubadilika. Toka enzi za Mkapa anaita spead kwa jina lake. Labda anasababu zake za msingi maana haogopi mtu hata siku mojaNamjua mpaka mwanae ambaye degree ya kwanza kasoma vyuo saba na hajagraduate
Angekuwa mlezi mzuri mwanae asingekuwa hivyo. Hata hivyo nikubaliane na wewe kwamba Jenerali ni Jenelali- mbali na tofauti kabisa na mwanaye. Kwa misingi hiyo mbona yeye anataka Samia na kila mtu awe kama anavyotaka yeye?Mwanae sio yeye Jenerali. I like his guts. Hajawahi kubadilika. Toka enzi za Mkapa anaita spead kwa jina lake. Labda anasababu zake za msingi maana haogopi mtu hata siku moja
Ulimwengu ni mtu asiye na busara ya ulimi! Huwezi kujiita msomi halafu unakosa busara ya ulimi. Knowledge brings wisdom.
Hayo maoni yake yanaweza kumuweka sehemu mbaya.ULIMWENGU amekwambia anataka kuwa rais?
Mtu kutoa maoni yake, tena kisheria , bila kuvunja sheria yeyote maarage mabich yaannza kudunda dunda, kuna mahali kamtaja AYUBU ama chief HANGAYA?
Mfano wako nimeuelewa sana. Yaani watu wanataka Ushemeji wao uwe suala la kitaifa.?
Mwandishi wa habari mbobezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take:
Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas (mashemeji)
NYERERE na MANDELA angesema hivyo leo tungekuwa tunawaosha wazungu makalio.Hayo maoni yake yanaweza kumuweka sehemu mbaya.
Usingekuwa muoga usingetumia jina la 'Jaji Mfawidhi' hapa Jamii Forum.NYERERE na MANDELA angesema hivyo leo tungekuwa tunawaosha wazungu makalio.
WEWE bado una roho ya fisi, woga uliopitiliza.
Watu kama nyie, kila kitu mnashangilia hata kama ukibanwa kende na kolea unashangilia tu.
Twambie wew alichota akapeleka wapi?Tuambie wapi pesa imechotwa. .. !?
Nami nikwambie enzi za shujaa wenu pesa ilivyochotwa nakudhibitishwa na CAG 1.5trilion umewahi kusikia..
Au unataka uniletee stori za kijiweni hapo uswaz kwako
Sibishani na viaziTwambie wew alichota akapeleka wapi?
Au uhalo tu,
Mama yako wanampiga pesa huko juu na mataani hali ni mbaya kulioko miaka yote lakini mmekaa kimya mnasifia tu,
Mwambieni ahadi anazotoa zikamilike isiwe maneno tu.
Bila shaka wakati Jenerali ananena haya Hangaya alisonya
Mwandishi wa habari mbobezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu.
Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao wana nia njema?
My take:
Ni kweli hii nchi ni ngumu hebu waangalie Gwajimas (mashemeji)