PreGE2025 Jenerali Ulimwengu: Tume Huru ya Uchaguzi sawa na Nguruwe aliyepakwa lipstick!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cπŸ’
Wewe utakuwa mgeni hapa nchini. Humjuwi
 
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cπŸ’
Akili kubwa kuielewa ukiwa chawa ni ngumu sana. Chawa mwisho wake ni mavazi ya mhusika aliyembeba.
 
uhuru wako binafsi na hako kazee karopokaji mkaufanyie kwenye familia zenu, huku mkila na huyo nguruwe mwenye lipstick gentleman,

but,
Uhuru wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ni uhuru wa waTanzania wote kwa ujumla, kwa mujibu wa katiba πŸ’
Uhuru wa tume uko wapi?
Kumkata mgombea mwenye degree 2 kwa kigezo hajui kusoma na kumpitisha La 7B kuwa anajua kusoma na kundika huo ndio uhuru mabanda ya lumumba??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…