SI KWELI Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

SI KWELI Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
.Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
1774596009145.png
 
Tunachokijua
Kumekuwa na baadhi ya Taarifa zinazoeleza kuwa Jenerali Mohammad Zolghadr alisheshika nafasi ya Ali Larijani kama katibu mkuu wa Baraza la ulinzi wa Taifa (SNSC), ameuliwa baada ya makazi yake kushambuliwa.

Uhalisia wa madai hayo ni upi?

JamiiCheck imefuatilia na kujirirdhisha kuwa taarifa hiyo inayodai kuwa Zolghadr aliyeteuliwa na kuanza majukumu yake kama Katibu mkuu wa baraza hilo Machi 24, 2025 ameuawa si ya kweli ya kweli.

Hakuna chanzo chcochote cha kuaminika kilichochapisha taarifa ya kufariki kwa kiongozi huyo. Ufuatiliaji kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu, umebaini kuwa vyanzo vya kuaminika taarifa pekee iliyochapishwa kuhsus kiongozi huyo ni kuhusu kuachaguliwa kwake.
Inakuaje viongozi wa Iran wanauawa sana ni kwamba hawawezi kujilinda au wanafeli wapi
Hapana sio kwamba hawawezi kujilinda ila wanapambana na adui mwenye weledi wa hali ya juu kwenye mambo ya intelijensia na teknologia ya kufa mtu.
 
Akirudi hatakuwa Mojtaba Khamenei yule wa zamani kwa sababu atarudi hana mguu moja na shepu imeharibika vibaya.
Hapana mbona ripoti zinadai alikwisha toka nje ya jengo kabla bomu kupigwa.
 
Huoni imeletwa jamiicheck? Najua huna akili ila kuleta fake news humu hapana unapaswa upigwe ban ila ukapotoshe wajinga wenzio vijiweni huko. Last time ulipigwa ban kwa kuleta uongo humu this time naomba wakufungie hata mwezi akili zikukae sawa.

Source: Al Jazeera Iran’s new security boss Mohammad Zolghadr: Why his appointment matters
Aljazeera si reliable Source hao ni watetezi wa magaidi ni wajinga tu ndiyo wanao wasikiliza wajinga hao. Magaidi wauwawe tu maana hakuna nyingine!!
 
Aljazeera si reliable Source hao ni watetezi wa magaidi ni wajinga tu ndiyo wanao wasikiliza wajinga hao. Magaidi wauwawe tu maana hakuna nyingine!!
Niletee reliable source yako sasa? Maana wewe ndio mtoa hoja. JF imekua ya kipuuzi sana kuruhusu watu wasio na shule kama wewe kupost tu mada bila kufanya fact checking. No wonder watu makini wote wameondoka.
 
Aljazeera ni watetezi wa Magaidi hata kifo cha Gaidi Ayatollah Ali Khamenei walikificha lakini maiti yake ilipoanza kuoza ilibidi wakubali kuwa kafa!!

Wajinga kama Aljazeera wataaminikaje katika suala la magaidi kuuwawa?
Iran inaishambulia Qatar na imeshatoa onyo kuwa itailipua Al Jazeera. Hiyo ni channel ya Qatari na inachukiwa na Iran maana Qatar ni ally wa US kwenye hii vita.
Source hii hapa media ya taifa teule
 
Hapana mbona ripoti zinadai alikwisha toka nje ya jengo kabla bomu kupigwa.
Hizo habari za yeye kutoka kwenye hilo jengo ulizipata wapi?

Kila magaidi yanapouliwa mnapinga tu lakini wakianza kuoza mnakubali kuwa kauliwa hivi ninyi mna matatizo gani?Aliuliwa Ismail haniyeh,Hassan Nasrallah,Yahya Sinwar,Ayqtolah Ali Khamenei na .Makamanda waandamizi wa IRGC zaidi ya 40 mlikataa lakini baada ya muda mlikubali mnaficha ili iweje maana kama kufa kafa tu!!
 
Niletee reliable source yako sasa? Maana wewe ndio mtoa hoja. JF imekua ya kipuuzi sana kuruhusu watu wasio na shule kama wewe kupost tu mada bila kufanya fact checking. No wonder watu makini wote wameondoka.
Wewe ni mmojawapo wa mnaoleta humu habari za propaganda kusifia Magaidi!!
 
Hizo habari za yeye kutoka kwenye hilo jengo ulizipata wapi?
Kumbe hata hujui mbona audio ilikua leaked na media zenu za kiyahudi
Kila magaidi yanapouliwa mnapinga tu lakini wakianza kuoza mnakubali kuwa kauliwa hivi ninyi mna matatizo gani?
Wewe hiyo taarifa umeitoa wapi? Maana hakuna media imesema kuwa kamanda mpya wa IRGC amefariki. Sasa unapoamka asubuhi na kutengeneza tu habari ya uongo na kupotosha watu humu unafaidika nini?
Makamanda waandamizi wa IRGC zaidi ya 40 mlikataa lakini baada ya muda mlikubali mnaficha ili iweje maana kama kufa kafa tu!!
Iran ina makamanda elfu 10 kwenye majeshi zaidi ya 4 yenye war time recruitment ya million 3-4 sasa kupoteza makamanda 40 sio pigo kwa nchi yenye Raia Millioni 100.
 
Wewe ni mmojawapo wa mnaoleta humu habari za propaganda kusifia Magaidi!!
Huwa naleta facts tu humu ndio maana credibility yangu huwezi linganisha na yako.

Na magaidi ni nani haswa hili swali umeshindwa kujibu mwaka sasa!!
 
Iran ina makamanda elfu 10 kwenye majeshi zaidi ya 4 yenye war time recruitment ya million 3-4 sasa kupoteza makamanda 40 sio pigo kwa nchi yenye Raia Millioni 100.
Huu uongo umeupata wapi?
 
Huwa naleta facts tu humu ndio maana credibility yangu huwezi linganisha na yako.

Na magaidi ni nani haswa hili swali umeshindwa kujibu mwaka sasa!!
Hapo ndipo unapotujulisha kuwa wewe ni Bumunda Ulituaminisha Hamas watashinda vita vya Gaza matokeo yake wamepoteza maeneo makubwa na sasa wanapumulia na wenzao Hezbollah na Houth!!

Wajinga walikuamini maana walikuwa hawajui kuwa wewe unasumbuliwa na Ushabiki wa kijinga!!
 
Kama kawaida unakimbiliaga matusi but mie huko siko. Jibu swali umetoa wapi taarifa kuwa kamanda mpya wa IRGC ameuwawa? Mada yako imeletwa jamiicheck sababu haijawa verified popote. Huoni hata aibu asbuhi yote hii kupotosha watu.
 
Back
Top Bottom