SI KWELI Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

SI KWELI Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
.Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
1774596009145.png
 
Tunachokijua
Kumekuwa na baadhi ya Taarifa zinazoeleza kuwa Jenerali Mohammad Zolghadr alisheshika nafasi ya Ali Larijani kama katibu mkuu wa Baraza la ulinzi wa Taifa (SNSC), ameuliwa baada ya makazi yake kushambuliwa.

Uhalisia wa madai hayo ni upi?

JamiiCheck imefuatilia na kujirirdhisha kuwa taarifa hiyo inayodai kuwa Zolghadr aliyeteuliwa na kuanza majukumu yake kama Katibu mkuu wa baraza hilo Machi 24, 2025 ameuawa si ya kweli ya kweli.

Hakuna chanzo chcochote cha kuaminika kilichochapisha taarifa ya kufariki kwa kiongozi huyo. Ufuatiliaji kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu, umebaini kuwa vyanzo vya kuaminika taarifa pekee iliyochapishwa kuhsus kiongozi huyo ni kuhusu kuachaguliwa kwake.
Hii ni basij militia pekee ina wanajeshi zaidi ya 1,000,000 na makamanda zaidi ya 2000 embu soma hii media credible kabisa ya USA
https://www.nytimes.com/2026/03/17/world/middleeast/basij-militia-iran.html

Hapo sijaongelea IRGC na IAF ambao ndio top zaidi ya Basidj
Saddam alikuwa na jeshi kubwa kushinda hilo la Iran lakini leo hilo ni zao la historia tu.

Vita ni mbinu na wala sio idadi ya wanajeshi ulionao na ingekuwa ni hivyo basi leo hii Israel ingeshafutwa kwenye ramani ya dunia kitambo kirefu sana.
 
Saddam alikuwa na jeshi kubwa kushinda hilo la Iran lakini leo hilo ni zao la historia tu.
Unaelewa nilichojibu hapo? Yeye kasema Iran imepoteza makamanda 40 ndio namuelewesha kuna makamanda zaidi ya 10,000 kwenye kila ranks za IRGC, IAF na Basij militia na hakuna popote nimesema wingi wa askari ndio ushindi wa vita so usinilishe maneno.
Vita ni mbinu na wala sio idadi ya wanajeshi ulionao na ingekuwa ni hivyo basi leo hii Israel ingeshafutwa kwenye ramani ya dunia kitambo kirefu sana.
Ingefutwa kwani nani amesema anataka kuifuta Israel? Pakistan hiyo hapo ina nuclear na ni supporter wa Hamas ingetaka si ingerusha tu nuclear kuifuata Israel maana kwa size ya Mwanza tactical nuclear warhead moja tu inaimaliza Israel.

Kingine Israel haina jeshi imara ila ina back up ya USA ila wakisema wapigane na Iran face to face bila US kuingilia nakwambia ndani ya wiki tu majeshi ya Iran yatakua Tel Aviv kupitia Iraq!!

Washukuru tu Iran sio jirani ila ingekua vita ya mpakani kama Russia na Ukraine, aisee habari ingekua nyingine sahivi
 
Aljazeera si reliable Source hao ni watetezi wa magaidi ni wajinga tu ndiyo wanao wasikiliza wajinga hao. Magaidi wauwawe tu maana hakuna nyingine!!
Mkuu unajisikiaje kuambiwa na JF kuwa taarifa yako sio ya kweli? Napendekeza mtu akiweka fake news humu apigwe ban ya wiki ili kuwepo na umakini.
 
Mkuu unajisikiaje kuambiwa na JF kuwa taarifa yako sio ya kweli? Napendekeza mtu akiweka fake news humu apigwe ban ya wiki ili kuwepo na umakini.
Unaumia sana unaposikia Magaidi wa Iran wanauwawa Kama nzige?
 
Punguza upotoshaji dogo, hii sio Facebook au ministry zenu za kuuziwa mafuta na chumvi ya upako.
Mlituaminisha kuwa waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliuwawa na mawaziri wake watatu mbona hamkutuambia Mazishi yao yatakuwa lini na Avatal zenu hazikuwekwa? Au mlichokifanya ninyi si upotoshaji?

Hata hivyo kipondo kwa magaidi wa Iran kinaendelea bila shida yoyote ile Makamanda wake wanaendelea kuuliwa tu!!
 
Unaelewa nilichojibu hapo? Yeye kasema Iran imepoteza makamanda 40 ndio namuelewesha kuna makamanda zaidi ya 10,000 kwenye kila ranks za IRGC, IAF na Basij militia na hakuna popote nimesema wingi wa askari ndio ushindi wa vita so usinilishe maneno.
Nani alikuambia kuna Makamanda 10,000 kwenye kila rank za Jeshi la Iran? Imeandikwa wapi? Huo pia ni upotoshaji tu!!
Ingefutwa kwani nani amesema anataka kuifuta Israel?
Hata hili hulijui? Iran ilishasema lengo lake kuu ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia Kama hili pia hulijui basi wewe ni Mjinga sana tu!!
Kingine Israel haina jeshi imara ila ina back up ya USA ila wakisema wapigane na Iran face to face bila US kuingilia nakwambia ndani ya wiki tu majeshi ya Iran yatakua Tel Aviv kupitia Iraq!!
Huu ni ujinga na upumbavu unakusumbua sana Israel kweli ni nchi ndogo lakini wana Jeshi bora sana duniani na hawatishiwi nyau!!

Wafuga Midevu na Majini wenzako walijaribu kuifuta 1948 wakashindwa walipigwa mpaka wakachakaa , 1967 wakajaribu tena wakaangukia pua, 1973 wanajitahidi zaidi wanaishi wa pumzi hadi leo hii hawawezi kuharibu ujinga huo wanatumia tu Proxy wao Hamas,Hezbollah,Houthi,Islamic jihad na vikundi Uchwara vingine.

Ni ujinga na Upumbavu kufikiria kupigana na Israel na Ukashinda!!
Kwanza jiulize unaishindaje Israel Taifa teule? Toka vita hivi vianze Iran wameua viongozi wangapi wa Israel? Jibu hakuna hata balozi wa nyumbani kumi aliyeuwawa. Jiulize tena Israel imeua viongozi wangapi wa Iran jibu unalo mwenyewe.

Vita hivi ni baina ya David and Goliath hapa ni panga panga Iran lazima atakatwa kichwa tu atake asitake lazima atashindwa tu. Kama ilivyo kawaida yenu hamkosi visingizio mara Marekani mara Israel inatumika Uchawi zote hizo ni mbwembwe za aliyeshindwa!!!
 
Mlituaminisha kuwa waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliuwawa na mawaziri wake watatu mbona hamkutuambia Mazishi yao yatakuwa lini na Avatal zenu hazikuwekwa? Au mlichokifanya ninyi si upotoshaji?

Hata hivyo kipondo kwa magaidi wa Iran kinaendelea bila shida yoyote ile Makamanda wake wanaendelea kuuliwa tu!!
Mlituaminisha na nani? Uliwahi ona napost hiyo habari au naconment kwenye nyuzi zisizo na ukweli? Mie ni mtu makini na hii ni mara ya tatu mods wanakuumbua kwa uongo!!

Jirekebishe dogo, unashusha hadhi ya JF.
 
Nani alikuambia kuna Makamanda 10,000 kwenye kila rank za Jeshi la Iran? Imeandikwa wapi? Huo pia ni upotoshaji tu!
Nimekuwekea link kasome au lugha tatizo?
Wafuga Midevu na Majini wenzako walijaribu kuifuta
Kuifuta ndio nini? Si wangetaka kuifuta wangetumia tu nuclear za Pakistan. Israel ilipigana na Jordan, Syria na Egypt tu na hapo Israel iliivamia Egypt kwanza so ikawa knock out kabla hata askari wa kwanza hajaanza kupigana. So usiseme waarabu/waislam as if kulikua na Pakistan, Uturuki n.k hizo zingetosha kummaliza Israel.
Ni ujinga na Upumbavu kufikiria kupigana na Israel na Ukashinda!!
Kwanza jiulize unaishindaje Israel Taifa teule? Toka vita hivi vianze Iran wameua viongozi wangapi wa Israel? Jibu hakuna hata balozi wa nyumbani kumi aliyeuwawa. Jiulize tena Israel imeua viongozi wangapi wa Iran jibu unalo mwenyewe.
Iran kavamiwa so anajilinda? Angetaka angepeleka askari wa miguu hadi Tel Aviv sasa niambie askari million 4 kwa kale kanchi size ya Mwanza si wiki tu imekachukua kote.
Vita hivi ni baina ya David and Goliath hapa ni panga panga Iran lazima atakatwa kichwa tu atake asitake lazima atashindwa tu. Kama ilivyo kawaida yenu hamkosi visingizio mara Marekani mara Israel inatumika Uchawi zote hizo ni mbwembwe za aliyeshindwa!!!
David na Goliath kivipi? Hapa Goliath ni Israel maana ana support ya nchi zaidi ya 10 ila Iran anapigana peke yake. Imagine hao waarabu wote pamoja na USA wangekua wamekaa pembeni? Unadhani nini kingetokea.
 
Back
Top Bottom