Jenga na tofali za kisasa za mwamba! Zisizo na gharama ya plasta kwa nje

Kutoka hapo hadi kwa Chendee -Mtakuja Bei Bado ni 1000 kwa tofali inchi 16?
 
Tupe sifa za tofali imara au bora mkuu
 
Kama ndio hivyo basi mwezi ujao ntahitaji tofali 3000 hadi 4000. Dar.

Ntakutafuta.
 
Hatupo duniani kuishi milele WHY ujenge nyumba ambayo itakua outlive wewe na vitukuu wako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…