Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

Daaah kiongozi ndio ninacho pitia kwa sasa pesa inakata vitu uvioni kabisa. Frem za milango,top za milango na madilisha, tiles sink za choo






KAZI ni kipimo cha UTU

Hongera sana. Nuru inakaribia
 
UONGO

mnaichukulia pia 100m?
Weka Bei ya hivi vitu huko kuliko
1. Nondo 12mm
2. Mifuko wa saruji
3. Mende (lori la mchanga)
4. Lori la kokoto
5. Maji 1000 lita
Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaja kwenye vifaa vya finishing ( umeme, mfumo wa maji, milango na madirisha).
 
Hatua iliyowekwa hapo ni kujenga boma tu na kupaua.Samahani sikusema hapo
Na pia inategemea kiwanja kipo tambarare au inabidi kirekebishwe kama sio kuwekeza kwenye gharama kubwa za msingi. Bila kusahau aina ya udongo, Kuna maeneo udongo wa mfinyanzi unapasuka balaa. Ujenzi wake hauwezi fanana na ardhi yenye mchanga.

Kama ni boma Hadi kuezeka, hizo bati ni za kampuni Gani?
 
Weka Bei ya hivi vitu huko kuliko
1. Nondo 12mm
2. Mifuko wa saruji
3. Mende (lori la mchanga)
4. Lori la kokoto
5. Maji 1000 lita
Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaja kwenye vifaa vya finishing ( umeme, mfumo wa maji, milango na madirisha).
Unataka kujustify hiyo nyumba ni mil 100 au?
Mil 100 si pesa nyingi sana kwenye ujenzi, Ila inategemea na aina ya ujenzi
Kwa nyumba hiyo haifiki mil 100
Siyo 100 tu hata mil 80 haifiki
 
Weka mlinganyo wa gharama kwa nyumba hiyo na nyumba nyingine. Tuone kama gharama ni nafuu.
 
Back
Top Bottom