Jengo la mahakama ya Wilaya Chato

Nasikia mvua zinanyesha Dar es Salaam nzima haipitiki, kila kona maji yamejaa barabarani, hivi zile barabara za awamu ya tano zilihamishiwa chato pia au bado ziko mwanza kwenye mapokezi ya ndege na mkutano mkuu wa chama?!
 
Ebana eeeh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kali balaa ila mahakama hata iwe nzuri kiasi gani haivutii ni kama jeneza tu hata liwe zuri namna gan huwez kulitamani
Ndio jamaa anatamani ajengewe kwao,labda anajiandaa kupelekwa sa anaona noma kwenda kwenye jengo baya.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

macson
 
Kwani hamjui kuwa,muda si mlefu inapandishwa kuwa mkoa?utaitwa mkoa wa LUBONDO!angalia hata jengo la TRA chato ni lakisasa kuliko majengo yote ya TRA kanda yote ya ziwa na maghalibi wajati haitowi hata leseni za bodaboda,taa za kuongozea nagali zupo ili hali barabala ni moja tu,benk hata zile za nje zimefunguliwa chato wakati ni kijijini hazina hata wateje kabisa.
 
 
Mahakama ipo katika mpango wa kuboresha mahakama zake za wilaya.....
kaangalie mahakama ya Wilaya Kibaha nenda Mahakama mpya ya Ilala.....
na sehemu kadhaa tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…