Jengo la mahakama ya Wilaya Chato

Mahakama ipo katika mpango wa kuboresha mahakama zake za wilaya.....
kaangalie mahakama ya Wilaya Kibaha nenda Mahakama mpya ya Ilala.....
na sehemu kadhaa tu....
Ooh .....

Kumbe Ni nchi nzima????

Safi
 
Chato itajengwa na wana Chato wenyewe acheni tuijenge Chato yetu na nyinyi simamieni miradi inayoelekezwa kwenye maeneo yenu ifanyike kikamilifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kali balaa ila mahakama hata iwe nzuri kiasi gani haivutii ni kama jeneza tu hata liwe zuri namna gan huwez kulitamani
Kata ninayoishi kuna kituo kidogo cha polisi, ni kizuri sana hadi mahabusu kuna tiles, mahabusu wa vituo vingine huwa wanaombwa wapelekwe kule bahati mbaya sana mahabusu ni ndogo haiwezi kuaccommodate watu wengi
 

Hata uwe mzalendo vipi.....hakuna anayeweza kwenda kutafuta pesa na akapata afu akanunua Tv kwa jirani kabla ya kununua ya kwake.
 
Hata uwe mzalendo vipi.....hakuna anayeweza kwenda kutafuta pesa na akapata afu akanunua Tv kwa jirani kabla ya kununua ya kwake.

Nyerere?????

Kwanini alifeli kuijenga Butiama
 
Kila wizara, idara na kampuni sasa zinashindana kuiendeleza Chatto
 
Titi linawasha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere?????

Kwanini alifeli kuijenga Butiama

Nyerere alikuwa mshamba mshamba.

Wewe ukiwa Raisi kwa sasa.... ni mfano lakini😁 ina maana huwezi kijenga nyumba y kisasa zaidi eti kisa Nyerere jana mjengo wa maana kule Kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…