The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Labda hiyo mahabusu ni kwa ajili ya waheshimiwa viongozi!!Kata ninayoishi kuna kituo kidogo cha polisi, ni kizuri sana hadi mahabusu kuna tiles, mahabusu wa vituo vingine huwa wanaombwa wapelekwe kule bahati mbaya sana mahabusu ni ndogo haiwezi kuaccommodate watu wengi
Unaongelea mahakama ya wilaya? Mahakama zote zinazojengwa kwa huo mradi ramani ni moja na zote ni za kisasa, ukiona Rais sikuile kumsifia Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi kwa transformation kubwa wanayoifanya usifikiri ni mchezo, kama unavyoona hospitals zikijengwa na Mahakama zinamea vilevile kote nchini, google hata ya Bagamoyo uione, pia hata ya Kigamboni.Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.
Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.
Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter
View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
Kiongozi hatakiwi kuonesha upendeleo lakini.... Mkapa???? Mwinyi???Nyerere alikuwa mshamba mshamba.
Wewe ukiwa Raisi kwa sasa.... ni mfano lakini😁 ina maana huwezi kijenga nyumba y kisasa zaidi eti kisa Nyerere jana mjengo wa maana kule Kwao?
Unaongelea mahakama ya wilaya? Mahakama zote zinazojengwa kwa huo mradi ramani ni moja na zote ni za kisasa, ukiona Rais sikuile kumsifia Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi kwa transformation kubwa wanayoifanya usifikiri ni mchezo, kama unavyoona hospitals zikijengwa na Mahakama zinamea vilevile kote nchini, google hata ya bagamoyo uione, pia hata ya Kigamboni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upendeleo upi aloonesha? hayo ndo majengo yanayojengwa wilaya zote ambazo hakukuwa na jengo la Mahakama ya wilaya, angalia majengo ya Mahakama za Kigamboni na Bagamoyo, kule kampendelea nani? huo ni mradi maalumu na nchi nzima majengo yanayojengwa ni ya kisasa.Kiongozi hatakiwi kuonesha upendeleo lakini.... Mkapa???? Mwinyi???
Kiongozi hatakiwi kuonesha upendeleo lakini.... Mkapa???? Mwinyi???
Chattle au Chattow wamefika Museveni na Kenyatta sijui kuzingumza nini manake hadi leo mrejesho hakuna.Wacha wivu.. Subiri zamu za wa kwenu muonyeshe mfano.
Walifika kumpongeza kwa ujenzi wa majengo ya kisasa ya Mahakama kuu kanda ya Kigoma, kawapendelea sana kule.Chattle au Chattow wamefika Museveni na Kenyatta sijui kuzingumza nini manake hadi leo mrejesho hakuna.
Kote ambako kunajengwa Mahakama za wilaya yanajengwa majengo ya kisasa kabisa.Kama zote zitakuwa hivyo Sawa.....
Lakini kwanini tusianzie Nachingwea huko au Kiteto?
Kata ninayoishi kuna kituo kidogo cha polisi, ni kizuri sana hadi mahabusu kuna tiles, mahabusu wa vituo vingine huwa wanaombwa wapelekwe kule bahati mbaya sana mahabusu ni ndogo haiwezi kuaccommodate watu wengi
Safi....isiwe chattle tu...Halafu iambiwe hela imeelekezwa kwingineLudewa, hiyo ni Mahakama ya mwanzo, kote ambako kunajengwa Mahakama za wilaya yanajengwa majengo ya kisasa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh wapi hii???Walifika kumpongeza kwa ujenzi wa majengo ya kisasa ya Mahakama kuu kanda ya Kigoma, kawapendelea sana kule.
View attachment 1295199View attachment 1295200View attachment 1295201View attachment 1295202
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna mahakama ya kawaida sana.Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.
Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.
Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter
View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.
Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.
Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter
View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
Sehemu zenye kesi nyingi ndio zimepewa kipaombeleKama zote zitakuwa hivyo Sawa.....
Lakini kwanini tusianzie Nachingwea huko au Kiteto?
Wewe si kawaida yako matusi.
Nani anakushangaa kwa comment kama hii?
Basi niongezee kunitukana na matusi mengine mazito uridhike uongeze siku za kuishi.
Na cha kusikitisha ni kwamba huwezi kuwa hata mjumbe wa nyumba 10 katika mtaa wako achilia mbali kuwa raisKutoka rohoni nikiwa rais kitu cha kwanza ni kuyabomoa yote ambayo yamefanyika kwa upendeleo!
Bila shaka itakuwa ni mabatini hapoKata ninayoishi kuna kituo kidogo cha polisi, ni kizuri sana hadi mahabusu kuna tiles, mahabusu wa vituo vingine huwa wanaombwa wapelekwe kule bahati mbaya sana mahabusu ni ndogo haiwezi kuaccommodate watu wengi