Hunijui kwa hiyo unajisemea tu! Nikukumbushe, kuna kitu kinaitwa NGEKEWA, kuna rais fulani (jina tuliache) alipata ngekewa kuwa rais maana hata nyumba 10 hakuwahi kuwa. NGEKEWA, ngekewa ngekewaNa cha kusikitisha ni kwamba huwezi kuwa hata mjumbe wa nyumba 10 katika mtaa wako achilia mbali kuwa rais
Mdude,maendeleo hayana chama,jengo kama Hilo la mahakama huko chato,lipo pia Kigamboni ambapo kuna mahakama ya mwanzo na ya wilaya,majengo hayo Ni mpango mkakati wa mahakama kujiendesha kidijitali,mpango huo upo kwenye majaribio na unahusisha wilaya zilizovhaguliwa tu,yaani kila kitu ki- ICT,usipinge bila utafitiMhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.
Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.
Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter
View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
Maandalizi ya kuwa makao makuu ya mkoa si umesikia kuna ujenzi wa jengo la zimamoto piaTunawahesabia tu Mwanza..... Wajiandae kuwa underdog kanda ya ziwa...
mimi naona ni sahihi tu pale unapopata nafasi basi si vibaya kuitumia vizuriMhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.
Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.
Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter
View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
Kuwaaminisha watoto mwezi huu mzima mnakula kuku tu haikupi haki ya wewe kuanza na firigisi,paja na kidari .......mimi naona ni sahihi tu pale unapopata nafasi basi si vibaya kuitumia vizuri
Wewe umefuatilia majengo mangapi ya mahakama za wilaya mpya?Kwani awamu hii wilaya mpya ni moja tu
Mkoa mpya nilisikia....ila bado wajipange sanaMaandalizi ya kuwa makao makuu ya mkoa si umesikia kuna ujenzi wa jengo la zimamoto pia
Hata kama charity begin at home sio everythingWewe umefuatilia majengo mangapi ya mahakama za wilaya mpya?
Au kwa sababu umeletewa moja la Chato basi unadhani umeona yote?
Kusanya picha ya majengo yote mapya yaliyojengwa na serikali wilaya mpya na za zamani, majengo yawe ya idara zote sio mahakama pekee kisha njoo uone hiki kitu nimeungumzia.
Mfano umeona Machinjio, Bus Stands mpya, Masoko na Hospital mpya zote nchi nzima?
Chato ni Wilaya mpya na changa sana hivyo majengo ya serikali ya hadhi ya kiwilaya mapya karibu yote. Tegemea kuona majengo ya kisasa.
Haiwezekani tuendelee kujenga majengo ya kizamani ili yafanane nchi nzima. Hata madaraja mapya nchi nzima mengi yana muundo na muonekano mzuri wa kisasa. Vifaa vya ujenzi tu vimebadilika kulingana na wakati na teknolojia.
Mfano sasa bati za Asbestos hazifai hazipo sokoni sababu ya sumu, Ceiling boards za kizamani hazitumiki kuna Gypsum boards, sakafu sasa hivi kuna tiles na mawe ya Tanga au tarazo bado ipo sokoni.
Mabomba ya maji ya chuma hayatumiki kusambazia maji majumbani kama zamani,... the list goes on.
Let's use common sense though "Common sense is not so common".
Kigoma, sio mnakurupuka tu kusema anapendelea Chato.Duh wapi hii???
Wapinzani acheni ubaguzi
Mbona Moshi imepelekwa Tren Wananchi hatulalamiki?
Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.
Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.
Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter
View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
Unaishi shamba nini?
Ni kuvibomoa tu huko mbele ya safari, maana ikiachwa hivi tunajenga precedence ya wapuuzi wengine kuja kufanya hivyo!Chato isipokuwa Dubai awamu hii aitokuwa milele
Wachagulie ya kukosoaHizi nguvu mnazotumia kwenye mambo madogo kama haya munge elekeza kwenye mambo muhimu makubwa.
Hilo jengo la kawaida sana tatizo ni hizo ngazi au au urembo wa nguzo za kwenye baraza?
Wilaya nyingine ni za zamani sana, mahakama zake zilijengwa zamani hivyo huwezi kufananisha na wilaya mpya inayojengwa majengo au miundombinu ya kisasa.
Akili ya kawaida tu inatosha kutuambua hii sababu ya utofauti wa miundombinu mipya.
Mnataka mwaka 2015/2019 lijengwe jengo kama la mwaka 1961/1986?
Hata huku mitaani maeneo ya miji au makazi mapya huwa na majengo mazuri ya ramani na urembo wa kisasa.
Hii ndio shida ya kuwa na watu wako wa propaganda na kampeni wenye elimu ndogo kama akina mdude.
Sijawahi kuona ukosoaji wa kitoto namna hii enzi za ujana wa akina Mnyika, Halima Mdee, Zitto Kabwe n.k.
Na hao wote utaona elimu yao ni tofauti na akina Mdude. Kibaya zaidi hata wenye elimu ya juu wanaingia mkenge kuuunga juhudi za ukosoaji wa mambo madogo sana na kuacha makubwa ya msingi.