Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Kisheria ilikuwa sahihi kulibomoa au alivunja sheria?
Kule mwanza waliambiwa msiwabomolee hawa ndio walionipa kura , kimara mbezi watu wamebomolewa nje ya utaratibu kabisa , mita mia kutoka barabara kuu na hawakupewa hata mia, tena kukiwa na stop order ya mahakama,na jengo nalo limevunjwa pasipo sababu ya msingi yeyote, sheria hua zinatumika baadhi ya sehem alafu sehem nyingine hazitumiki? ,
Ubaguzi sio kitu kizuri kabisa
 
Kwani Kuna ambaye alionewa huko kimara , kama yupo aende mahakamani kudai haki yake. Mimi nachojua ni kwamba wa kimara walienda mahakamani kupinga wakashindwa.
We nae hata hujui chochote , zile nyumba zimebomolewa huku kukiwa na stop order ya mahakama
 
Kwani jengo limebomolewa?! Mbona tunalona!? Au mm ndo sielewi?!
 
Kisheria, hili linaweza kudhibitiwa?
 
Inasikitisha kwa kweli alikua hashauriki.

Wahenga wanasema "Kenge hasikii mpaka apasuke masikio"
 
We si mwenyekiti mkoa wa mwanza alishasema jibwana alikua na kadi ya milembe
 
Unajadili upumbavu huna maana! Wewe linakuhusu nini hilo jengo unataka kusema alilibomoa tu kwa kaksudi! Au unaofisi yako humo jengoni?
Jengo ni mali ya shirika hivyo kila mtanzania linamuhusu na ndio alilibomoa kwa makusudi kwa lengo la kutaka kuonesha yeye akitaka jambo lake hakuna wa kumzuia kwa sababu alikuwa akiamini yeye ni zaidi kuliko binadamu yeyote.
 
Wewe utakuwa kichaa sio bure.
 
Kimsingi hakuna rais aliyeijenga hii nchi Kama Magufuli hata Nyerere alikuwa na maono lkn uchumi ulimbana Magu kajenga nchi bwana hajapata kutokea mwingine,tusifu tu lkn hata tunaowasifu wanaujua ukweli.
 
Kimsingi hakuna rais aliyeijenga hii nchi Kama Magufuli hata Nyerere alikuwa na maono lkn uchumi ulimbana Magu kajenga nchi bwana hajapata kutokea mwingine,tusifu tu lkn hata tunaowasifu wanaujua ukweli.
Ukifanya mazuri mengi lakini ukiua mara moja tu, mkono wa sheria uko juu yako.
 
Wale vizuri Bila bughudha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…